Fundisho: Wananchi wawapuuza CHADEMA,wanaendelea na sikukuu ya Eid

Huyu uwa hana hoja,ashakuwa Zuzu fulani.

Wapo Bungeni ajili ya kugonga Meza hata hoja za hovyo, kama ilivyokuwa wakati wa tozo sasa anajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Ndugu zangu,

Ulimwenguni pote kama mwanasiasa anatoa hoja za wananchi hawezi kuziiliwa au kukamatwa bila wananchi kulalama.

Maandamano ya wananchi hayatokani na mwanasiasa bali huletwa na wananchi wenyewe.Tumeona jinsi wananchi walivyovalia njuga hoja ya makato kwenye simu hadi serikali ikajitokeza na kuahidi kulifanyia kazi.

Kwa haya yanayoendelea Mwanza iwe fundisho,wananchi wamewapuuza.Agenda yenu haitokani na wananchi bali wafadhili wenu.

Kongole Watanzania!

Cdm walitangaza kufanya kongamano la katiba mpya, na mpaka sasa polisi ndio wamejaa ukumbini. Hakuna popote cdm wametangaza leo Idd isishetehekewe. Naona unalazimisha kutoa mifano haya isiyoendana. Ni hivi, hili suala la katiba mpya hata mvue nguo hadharani hamuwezi kulizuia, sana sana Maguvu yaliyotumika leo yamelitangaza zaidi.
 
Ul
Wewe ni mpuuzi, kama wamepuuzwa sasa askari wa Nini? Acheni kujificha kwenye kivuli cha Vyombo vya dola, njooni
Ulitaka askari wajifiche?
Ni kawaida ya askali miaka yote wakati wa sikukuu kuzunguka mitaani kwa ajili ya utulivu na kuepusha walevi wa faru john kuleta vurugu mitaani.
 
Ndugu zangu,

Ulimwenguni pote kama mwanasiasa anatoa hoja za wananchi hawezi kuziiliwa au kukamatwa bila wananchi kulalama.

Maandamano ya wananchi hayatokani na mwanasiasa bali huletwa na wananchi wenyewe.Tumeona jinsi wananchi walivyovalia njuga hoja ya makato kwenye simu hadi serikali ikajitokeza na kuahidi kulifanyia kazi.

Kwa haya yanayoendelea Mwanza iwe fundisho,wananchi wamewapuuza.Agenda yenu haitokani na wananchi bali wafadhili wenu.

Kongole Watanzania!
Mungu wangu Alie up to date ,akakufute anzia,unyayo WAKO mpaka kichwa, akafute pembe zote za Dunia, kusini,kaskazin ,magharibi,mashariki, kataliwa kila mahali ili ubaki na roho YAKO ya dhuluma katika uzio uliozungushwa na moto
 
Wanatumia upole wa Mama kumnyanyasa,Wanalazimisha mambo sana,Mara wanaomba kukutana na Mamam,Mara Chanjo ni Lazima mara katiba lazima #Tumewachoka
 
Ndugu zangu,

Ulimwenguni pote kama mwanasiasa anatoa hoja za wananchi hawezi kuziiliwa au kukamatwa bila wananchi kulalama.

Maandamano ya wananchi hayatokani na mwanasiasa bali huletwa na wananchi wenyewe.Tumeona jinsi wananchi walivyovalia njuga hoja ya makato kwenye simu hadi serikali ikajitokeza na kuahidi kulifanyia kazi.

Kwa haya yanayoendelea Mwanza iwe fundisho,wananchi wamewapuuza.Agenda yenu haitokani na wananchi bali wafadhili wenu.

Kongole Watanzania!
Jifunze kusema ukweli japo siku za sikukuu Kama ya leo! Kwani ukiandika kuwa polisi yazuia wananchi kukusanyika utakatwa tozo? Kama kweli wamepuuza zile gari za zenye maji ya pilipili na mengine ya kivita pamoja na polisi wote wale wenye silaha wanafanya Nini hapo hotelini? Nakudharau Tena Kwa mara nyingine!
 
Wewe ni mpuuzi Katiba Mpya ni kwa ajili yetu na vizazi vijavyo kuweka utaratibu wa kuendesha nchi viongozi wanapita tuu unawaachia watu wako nini,Mbowe wapende wasipende watamwachia tuu
chadema ina katiba mpya? mbona magu alivyo kuwepo mlikuwa mnaongelea chooni? au sasa hivi ndiyo mmejua kuna katiba mpya?
 
Kila jambo na wakati wake hata alipokuja Yesu duniani biblia ilisema ulipotimia utimilivu wa nyakati kila jambo na nyakatizake ni nyakati za katiba mpya?
 
Sisi wananchi tukitaka sawa ila sio kikundi kinachojiia Chadema kituamulie
Cdm walitangaza kufanya kongamano la katiba mpya, na mpaka sasa polisi ndio wamejaa ukumbini. Hakuna popote cdm wametangaza leo Idd isishetehekewe. Naona unalazimisha kutoa mifano haya isiyoendana. Ni hivi, hili suala la katiba mpya hata mvue nguo hadharani hamuwezi kulizuia, sana sana Maguvu yaliyotumika leo yamelitangaza zaidi.
 
Ndugu zangu,

Ulimwenguni pote kama mwanasiasa anatoa hoja za wananchi hawezi kuziiliwa au kukamatwa bila wananchi kulalama.

Maandamano ya wananchi hayatokani na mwanasiasa bali huletwa na wananchi wenyewe.Tumeona jinsi wananchi walivyovalia njuga hoja ya makato kwenye simu hadi serikali ikajitokeza na kuahidi kulifanyia kazi.

Kwa haya yanayoendelea Mwanza iwe fundisho,wananchi wamewapuuza.Agenda yenu haitokani na wananchi bali wafadhili wenu.

Kongole Watanzania!
Wao cdm siyo wananchi
 
Back
Top Bottom