leo wametwangwa 7000 mbona mpka kesho watapata akiliUnawashauri hawa , mda wa kuwashauri umekwisha, kama jeshi la police ni haki ya kulinda raia na mali zao ,vipi wale walikua wanatwanga risasi wananchi ,bila hata uniform, walikua wapi , acheni hii habari nipo na maumivu makubwa aisee
hawajachoma au kuvunja kitu , mimi shida yangu wale wanaojitoa ufahamu wanafanya uharibu huyo astahili kuishi kwa namna yeyote ileKuna wale waliondamana kwenda Ubalozi wa Vatican, nao wapigwe risasi ?
Hilo nakubaliMungu ana njia nyingi sana sio maandamano peke yake
NdotoVyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama,
Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima
majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa majimbo 5 tu leo ni ngumu ku control na maadui wa Iran wataingilia hapo hapo
Funzo usiruhusu maandamano yazidi masaaa 6 yakishafika 8 anza kuwalamba shaba wahusika okoa wengine wengi , NEVER NEVER ALLOW SMALL SNAKE TO GROW
Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama,

Sio kweli hawezi kujisifu...kwanini watu wanaandamana?anajisifu sana kunizaaaa
Hivi Gen-Z hamna utaalam wa kujua huyu anaripoti kutokea wapi ilimkamsalimie? Kama JF mmezuia watu kujulikana wako wapi, hebu fungilieni mbwa japo kwa nusu saa tu huyu mpumbavu akanaswe!Duu! Imagine mtu anaanzisha mada kama hii, anatoa ushauri wanaoandamana kwa amani wapigwe risasi!
Nachoka kabisa mimi mwana JF mwenzenu!😢
Ukae madarakani kwa mtu mmoja kupiga kura 50, na tume itangaze kura za uhuni?si wanitoe kwa heri kwa kura na
Maandamano yameisha ndugu,sasa hivi kuna maandamano ya kuunga mkono serikaliVyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama,
Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima
majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa majimbo 5 tu leo ni ngumu ku control na maadui wa Iran wataingilia hapo hapo
Funzo usiruhusu maandamano yazidi masaaa 6 yakishafika 8 anza kuwalamba shaba wahusika okoa wengine wengi , NEVER NEVER ALLOW SMALL SNAKE TO GROW
Unawamba shaba waliotoa pesa za kununua hizo bunduki na wanaolipa mishahara yao?Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama,
Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima
majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa majimbo 5 tu leo ni ngumu ku control na maadui wa Iran wataingilia hapo hapo
Funzo usiruhusu maandamano yazidi masaaa 6 yakishafika 8 anza kuwalamba shaba wahusika okoa wengine wengi , NEVER NEVER ALLOW SMALL SNAKE TO GROW
Mbinu mpya Wajumbe, wenyeviti wa mitaa,Machawa familia,mali na nyumba zao pigeni moto 🔥 choma piga moto tembea na kuchoma kila kitu 🔥🔥🔥🚶Huyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa karibu, jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.
Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti.
Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu
Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya ndani aliyetenguliwa kila mtu kasimama naye sababu ya kupenda haki dhidi ya dhuruma ya mama Samia, tuzidishe maombi karibuni Mungu ataamua kama alivyofanya kwa madhalimu wote waliokuwepo kabla yetu kama Farao
Ni kosa la dingi yake!Sio kosa lako
Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama,
Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima
majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa majimbo 5 tu leo ni ngumu ku control na maadui wa Iran wataingilia hapo hapo
Funzo usiruhusu maandamano yazidi masaaa 6 yakishafika 8 anza kuwalamba shaba wahusika okoa wengine wengi , NEVER NEVER ALLOW SMALL SNAKE TO GROW
nina watoto watano wavulana 2 wasichana 3 ila sipendi ujinga nasononeka sana ninachokionaHuyu hana watoto, siku akikua atajua umuhim wa wanae! Endapo watachapwa shaba za vichwa
leo wamepelekewa moto haswa haswa baada ya tu ya marekani kujifanya eti inaingilia katiUnawamba shaba waliotoa pesa za kununua hizo bunduki na wanaolipa mishahara yao?
Hamna watu watata kama wa Iran ila hawawezi ua watu kama mende kama ilivotokea hapa!
Bara giza lina safari ndefu kwa kweli
kabla hujanitukana jiulize hivi siku ya kwanza tu wangewapasua vichwa watu 10 leo maandaano yangekuwa nchi nzima? ipi hasara sasahivi hata ku control ni kazi miji 110 inaandamana , hapa dar wangepigwa risasi kama nilivyoshauri siku ya kwanza pale kimara tu na magomeni yasingesambaaa mpaka tunduma , mbeya mwanza , mbagalaWewe msenge ni muuaji kummalko
safi sana maana nawachukia wanaoshadadia serikali za waonevu kama yule jamaa anayejisifu sasahivi marekani inamiliki mafuta asilimia 55 ya dunia baada ya kuchukua ya venezuela ,keshawasahau raia wa venezuela na bado majinga wanawashabikiaMaandamano yameisha ndugu,sasa hivi kuna maandamano ya kuunga mkono serikali