Fundikiller; Malaika wa kifo

Mekumiss chamdeko wangu jamani... Dah la mkuu lilitaka kunipa hut attack
@mshanjr
Utata wa nini kila leo
Wafunga ndindindi tu
Kufungua ndo gumzo
Mzozo watamalaki tu
Mitu wabishana maana
Hut Attack maanaye
Mara Fundikiller kisa
Nani kuumiza kichwa?

Mshana acha fasihi
Hamia jukwaa pendwa
Andika malovidavi kule
Watu wafurahiye maisha
Jamvi la siasa una mada
Mada ngumu fikirishi tu
Nasi twataka burudani
Mambo mepesi laini
Yanini kuumiza bongo
Mshana punguza utata

Bazazi
 
@mshanjr
Utata wa nini kila leo
Wafunga ndindindi tu
Kufungua ndo gumzo
Mzozo watamalaki tu
Mitu wabishana maana
Hut Attack maanaye
Mara Fundikiller kisa
Nani kuumiza kichwa?

Mshana acha fasihi
Hamia jukwaa pendwa
Andika malovidavi kule
Watu wafurahiye maisha
Jamvi la siasa una mada
Mada ngumu fikirishi tu
Nasi twataka burudani
Mambo mepesi laini
Yanini kuumiza bongo
Mshana punguza utata

Bazazi
Hii inafaa kwenda studio
 
.
tapatalk_jpeg_1567786634114.jpeg
 
Fundikiller jifunze kwa watangulizi wako... Wakati si milele.... Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako.
 
Mtangulizi pia alikuwa Fundikiller ila alikuwa mwerevu ndio maana anaishi kwa amani na furaha mpaka sasa pamoja na kuvurunda kote kule .. Unajua ni kwanini?
 
Katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hii ID JF.. Inajiita Fundikiller... Kwanza moja kwa moja nikamkumbuka hayati mzee Fundikira ambaye kwenye siasa za Tanzania hasa mageuzi jina lake ni remarkable... Ila ID hii ni Fundikiller na si mzee wetu marehemu Fundikira Rip

Fundikiller ni maneno mawili ya lugha mbili tofauti... Kiswahili na kiingereza ambayo tafsiri yake ni FUNDI MUUAJI!...!!!

Ni kwanini kukawa na ID kama hii!? Mhusika aliwaza nini!??? Tunaishi zama za Fundikiller ..!!!

Fundikiller ni nani basi! Fundikiller ni fundi muuaji... Akikutengenezea gari kuna waya wa hatari hataufunga tape.. Kuna nut kwenye tairi hataikaza vema.... Kikitokea cha kutokea dereva na hata abiria mmekwisha....!!!

Fundikiller ni mtaalam wa kujenga nyumba ambaye atakujengea nyumba chini ya viwango siku ukija upepo au mvua au tetemeko umekwisha wewe na waliomo ndani ya hiyo nyumba.

Fundikiller ni yule layman awezaye kununua usafiri uwe wa majini ardhini au angani kwa bei ya kuruka na bila mashauriano na bila kutaka ama kukubali ushauri wa wataalam na mwishoni akajikuta amepigwa ndefu lakini akiwa hana jinsi

Mtangulizi pia alikuwa Fundikiller ila alikuwa mwerevu ndio maana anaishi kwa amani na furaha mpaka sasa pamoja na kuvurunda kote kule .. Unajua ni kwanini?

Alifuata taratibu hata kama ilikuwa ni formality tuu.. Kuna wana leo hii wananyea debe kwa sababu yake lakini yeye wala..alijivua uwajibikaji...

Fundikiller jifunze kwa watangulizi wako... Wakati si milele.... Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako.
20221223_125914.jpg
 
Back
Top Bottom