Fundikiller; Malaika wa kifo

Fundikiller; Malaika wa kifo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,825
Reaction score
858,625
Katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hii ID JF.. Inajiita Fundikiller... Kwanza moja kwa moja nikamkumbuka hayati mzee Fundikira ambaye kwenye siasa za Tanzania hasa mageuzi jina lake ni remarkable... Ila ID hii ni Fundikiller na si mzee wetu marehemu Fundikira ⚰ Rip

Fundikiller ni maneno mawili ya lugha mbili tofauti... Kiswahili na kiingereza ambayo tafsiri yake ni FUNDI MUUAJI!...!!!

Ni kwanini kukawa na ID kama hii!? Mhusika aliwaza nini!??? Tunaishi zama za Fundikiller ..!!!

Fundikiller ni nani basi! Fundikiller ni fundi muuaji... Akikutengenezea gari kuna waya wa hatari hataufunga tape.. Kuna nut kwenye tairi hataikaza vema.... Kikitokea cha kutokea dereva na hata abiria mmekwisha....!!!

Fundikiller ni mtaalam wa kujenga nyumba ambaye atakujengea nyumba chini ya viwango siku ukija upepo au mvua au tetemeko umekwisha wewe na waliomo ndani ya hiyo nyumba.

Fundikiller ni yule layman awezaye kununua usafiri uwe wa majini ardhini au angani kwa bei ya kuruka na bila mashauriano na bila kutaka ama kukubali ushauri wa wataalam na mwishoni akajikuta amepigwa ndefu lakini akiwa hana jinsi

Mtangulizi pia alikuwa Fundikiller ila alikuwa mwerevu ndio maana anaishi kwa amani na furaha mpaka sasa pamoja na kuvurunda kote kule .. Unajua ni kwanini?

Alifuata taratibu hata kama ilikuwa ni formality tuu.. Kuna wana leo hii wananyea debe kwa sababu yake lakini yeye wala..alijivua uwajibikaji...

Fundikiller jifunze kwa watangulizi wako... Wakati si milele.... Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako.
 
Katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hii ID JF.. Inajiita Fundikiller... Kwanza moja kwa moja nikamkumbuka hayati mzee Fundikira ambaye kwenye siasa za Tanzania hasa mageuzi jina lake ni remarkable... Ila ID hii ni Fundikiller na si mzee wetu marehemu Fundikira
Fundikiller ni maneno mawili ya lugha mbili tofauti... Kiswahili na kiingereza ambayo tafsiri yake ni FUNDI MUUAJI!...!!!
Ni kwanini kukawa na ID kama hii!? Mhusika aliwaza nini!??? Tunaishi zama za Fundikiller ..!!!
Fundikiller ni nani basi! Fundikiller ni fundi muuaji... Akikutengenezea gari kuna waya wa hatari hataufunga tape.. Kuna nut kwenye tairi hataikaza vema.... Kikitokea cha kutokea dereva na hata abiria mmekwisha....!!!
Fundikiller ni mtaalam wa kujenga nyumba ambaye atakujengea nyumba chini ya viwango siku ukija upepo au mvua au tetemeko umekwisha wewe na waliomo ndani ya hiyo nyumba
Fundikiller ni yule layman awezaye kununua usafiri uwe wa majini ardhini au angani kwa bei ya kuruka na bila mashauriano na bila kutaka ama kukubali ushauri wa wataalam na mwishoni akajikuta amepigwa ndefu lakini akiwa hana jinsi

Mtangulizi pia alikuwa Fundikiller ila alikuwa mwerevu ndio maana anaishi kwa amani na furaha mpaka sasa pamoja na kuvurunda kote kule .. Unajua ni kwanini???? Alifuata taratibu hata kama ilikuwa ni formality tuu.. Kuna wana leo hii wananyea debe kwa sababu yake lakini yeye wala..alijivua uwajibikaji...

Fundikiller jifunze kwa watangulizi wako... Wakati si milele.... Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako
[emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji125] [emoji125]
 
Mshana toka umeoa umeshuka sana kiwango cha kuleta mada za kikubwa maa hiyo fundikiller nimejua nikiwa STD 3
 
....FUNDIKILLER...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom