Fundikiller; Malaika wa kifo

Fundikiller; Malaika wa kifo

Una uhakika itakuwa hivyo
Usije ukaishia kuwa mteja wa dr Mwaka
Just kidding....
Hongera kwa kufunga pingu ya milele oops ya majira tofautitofauti
Hahahaaa
 
Unafiki mtupu cc mshana jr
.
IMG-20180315-WA0083.jpg
 
Fundi Killer Ndio uyu Aliye Kuwa Anakaa Maeneo Ya Michael Chein Akafaga Miaka Fran Iv Ya Nyuma Au...??

Nimewaza Tuuu
 
Fundikiller ni kaka yake kabisa wa Mng'oa kucha. Wamezaliwa kwenye boma moja mama zao ni mtu na mke mwenza.

Ni ndugu ila wanakazi tofauti kama ule usemi wa mimi maji wewe moto nakuzima [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Niombee tu.. Maana huku chumbani ni bandika bandua. . .
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiyo bandika bandua itatuletea shida kwa kutengeneza vi-Mshana vitakavyokuja kututisha na vi-article vya ulozi
 
Sio watch out, ambayo ni sahihi. Ilikuwa 'watch it!'
Hii "watch it" ndio imenifanya nighairi nisilete muendelezo wa andiko hili la fundikiller
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiyo bandika bandua itatuletea shida kwa kutengeneza vi-Mshana vitakavyokuja kututisha na vi-article vya ulozi
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hii ID JF.. Inajiita Fundikiller... Kwanza moja kwa moja nikamkumbuka hayati mzee Fundikira ambaye kwenye siasa za Tanzania hasa mageuzi jina lake ni remarkable... Ila ID hii ni Fundikiller na si mzee wetu marehemu Fundikira [emoji1019] Rip

Fundikiller ni maneno mawili ya lugha mbili tofauti... Kiswahili na kiingereza ambayo tafsiri yake ni FUNDI MUUAJI!...!!!

Ni kwanini kukawa na ID kama hii!? Mhusika aliwaza nini!??? Tunaishi zama za Fundikiller ..!!!

Fundikiller ni nani basi! Fundikiller ni fundi muuaji... Akikutengenezea gari kuna waya wa hatari hataufunga tape.. Kuna nut kwenye tairi hataikaza vema.... Kikitokea cha kutokea dereva na hata abiria mmekwisha....!!!

Fundikiller ni mtaalam wa kujenga nyumba ambaye atakujengea nyumba chini ya viwango siku ukija upepo au mvua au tetemeko umekwisha wewe na waliomo ndani ya hiyo nyumba.

Fundikiller ni yule layman awezaye kununua usafiri uwe wa majini ardhini au angani kwa bei ya kuruka na bila mashauriano na bila kutaka ama kukubali ushauri wa wataalam na mwishoni akajikuta amepigwa ndefu lakini akiwa hana jinsi

Mtangulizi pia alikuwa Fundikiller ila alikuwa mwerevu ndio maana anaishi kwa amani na furaha mpaka sasa pamoja na kuvurunda kote kule .. Unajua ni kwanini?

Alifuata taratibu hata kama ilikuwa ni formality tuu.. Kuna wana leo hii wananyea debe kwa sababu yake lakini yeye wala..alijivua uwajibikaji...

Fundikiller jifunze kwa watangulizi wako... Wakati si milele.... Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako.
Sina jinsi zaidi ya kukupa like tuu
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiyo bandika bandua itatuletea shida kwa kutengeneza vi-Mshana vitakavyokuja kututisha na vi-article vya ulozi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom