Fundi

Fundi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
c1fb145769000a3bce0396b18f38354b.jpg
 
Sio Fundi musihapa lakini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kuna mmoja alikuwa chuo cha ufundi hata kurekebisha gari ilikuwa hajui lakini akitoka darasani practical alivyochafuka utasema yes, huyu kweli ndo fundi kumbe wapi.

ila huyu wako mkuu ni two march
 
Umenikumbusha mbali sana LEYLAND ilikwama kwenye tope akaletwa fundi aisee nilicheka sana anapiga tanganyika jeki jeki ndiyo inazama anaanza kuichimbua tena
 
Huyu sio fundi aisee ni mpare amedondosha shilingi mia ndio anaitafuta sasa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji13] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji84]
 
Pesa ya jamaa kama huyu, uile halafu umzungushe, aisee.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haahaa umeitoa wap mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom