Hivi hua mnaosha Engine ya gari ili iweje mkuu?
Usafi mwingine ndio unaletaga majanga kama hayo.
Gody +255 653 670 667Wakuu habari za kazi,
Jamaa yangu gari linamsubua baada ya kusafisha / kuosha Injini ya gari. Tatizo ni indicators zinasumbua, mara ziwake mara zisiwake.
Naomba kama kuna fundi mweledi aliyeko Dodoma nisaidiwe namba yake