truckdriver
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 562
- 264
Natafuta fundi mzoefu wa kujenga swimming pool. Mwana jamiiforum yeyote anayefahamu fundi mzuri naomba contacts.
pia nilikutumia kwa pm sijui umepata au la!Natafuta fundi mzoefu wa kujenga swimming pool. Mwana jamiiforum yeyote anayefahamu fundi mzuri naomba contacts.
pia nilikutumia kwa pm sijui umepata au la!
sawa mkuu nimeipata kiongozi.Asante Mgaya D.W, nimepata pm yako na kukujibu.
hongera kwa kujenga swimming pool, pesa imekukubali ndugu zangu huko nanyumbu hata maji ya kunywa hawana, hi kweli World's apartsawa mkuu nimeipata kiongozi.