Fundi umeme nipo Tanga

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
Karibu sana waliopo tanga na Viunga vyake fundi umeme mbombezi napatikana Tanga, Nafanya kazi hizi
-Ufungaji wa sensor zote kama zinazo control taa kujiwasha na kujizima wakati wa kupambazuka na giza kuingia
-Nafunga CCTV camera
-PIR sensor, Hii sensor ita detect uwepo wa mtu na kuwasha taa au kingoro inaeeza kutumika ktk ulinzi au kusave energy yani Taa za nje zitakuwa off mpaka atokee mtu ndio zitawaka na akiondoka zitazima
-Nafunga mifumo mingi ya kulinda nyumba yako na Wizi
-Natengeneza mabango ya kuwaka waka kama ya mpesa, Barber shop
-Energy meter kwa wale wa majumba ya kupanga na mnasumbuana bili na wapangaji wenzio zipo meter special kwa ajiri ya kumpimia kila mtu kiwango cha umeme anachotumia na mwishoni bili mtalipa kila mtu kutokana na energy aliyotumia
-Je una solar na Umeme wa Tanesco? Karibu nikutengenezee automatic change over switch aina hii ya change over itawasha vifaa vyako automatic mfano Tanesco akikataka solar ita supply bila kuathiri load, au kama una wiring mbili seperate pia tutaweka io change na kila wiring itafanya kazi mwenzie akiwa hayupo

Pia kama kuna contractor popote atapenda kazi zangu namkaribisha tufanye kazi napatikana kwa December hii tu ni Nipo vizuri pia kwenye computer haswa upande wa software
 
Back
Top Bottom