Fundi umeme wa majumbani nipo hapa, nitafute nikufanyie kazi kwa bei rahisi

Comrade DD

Senior Member
Apr 27, 2020
111
250
Fundi umeme wa majumbani nipo hapa dar es salaam ila naenda sehemu yoyote ile.nafanya wireling ya kisasa kabisa na nina uzoefu wa kazi nyingi tu.

Nitafute tufanye kazi kindugu kutokana na hali ya maisha ilivyo.

Pia nafunga vifaa vya umeme kama vile heater, mafeni , pump.na madishi pamoja na vitu vingine.

Mawasiliano: 0652868486

IMG_20200617_151530.jpeg
IMG_20200617_160550.jpeg
2165037_IMG_20190910_124730.jpeg
IMG_20200425_145128.jpeg
IMG_20200425_150307.jpeg
IMG_20200807_132756.jpeg
 

Comrade DD

Senior Member
Apr 27, 2020
111
250
Fundi umeme wa majumbani nipo hapa.

Dar es salaam ila naenda sehemu yoyote ile.nafanya wireling ya kisasa kabisa na nina uzoefu wa kazi nyingi tu.

Nitafute tufanye kazi kindugu kutokana na hali ya maisha ilivyo.

Pia nafunga vifaa vya umeme kama vile heater, mafeni , pump.na madishi pamoja na vitu vingine.

Kwa mawasiliano:0652868486
IMG_20200617_151530.jpeg
IMG_20200617_160536.jpeg
2165037_IMG_20190910_124730.jpeg
IMG_20200807_132756.jpeg
IMG_20200425_145124.jpeg
IMG_20200425_150307.jpeg
 

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,167
2,000
Jitangaze kufanya kazi iliyo bora na yenye viwango badala ya sifa ya kuwa na bei rahisi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom