Fundi simu maarufu ajinyonga Morogoro

Yaweza kuwa ni madeni, mapenzi.

Yaweza kuwa alinyongwa.

Anyways Rest Easy fundi.
 
mwee! walugulu mnadai mbaka mtu anajinyonga..! mbele yake nyuma yetu. 😷
 
Nilikuwa nasinzia Kwa mbali nasikia engine ya bus jekundu Leyland ikinguruma ndipo nikastuka nikayakumbuka maneno nabukadreza aliyoyaongea pale morogoro wakati wa uchunguzi wa viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…