Fundi simu anahitaji msaada

Fundi simu anahitaji msaada

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Mimi ni fundi simu natafuta sehemu ya kufanyia kazi zangu yenye mzunguko wa watu wengi, kiwe kibanda au nafasi hata ndogo ya kufanyia hiyo kazi, namba yangu
 
sema upo wap? hyo sehem unataka ya bei gan? mbona boss wangu wajieleza nusu nusu
 
mimi ninavyo vifaa nahitaji fund wa kufanya naye kazi, eneo ni Ukonga Mombasa Karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom