Habari fundi nina simu yangu nimwaka na nusu sasa ipo tu ndani, ni ya ku unlock model ni spv c550 (windiws mobile). Nimesha hangaika kwa mafundi wengi wanasema hawana software ya ku unlock.
hapa nimeamini wengi tuna vimeo asante fundi mimi nina htc g1 nahitaji betr original yake waweza nisaidia nimezunguka kariakoo nimeishia kupewa betr iliyochakachuliwa
Dongosolo umemlipa au unshukuru tu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Fundi unatupa matumaini. Lakin mafundi wengi hua kama wewe sasa imebaki ni kujarib bahat yako.
Nililetewa ipod ya kichina nikampa mwanangu awe anaitumia kwa fb...lakin ukiiweka line inapiga kama simu...huduma za internet hakuna.
Nikaipeleka kwa mafundi wa mitandao waifanyie confugaration zao...lakin haikubali. Tatizo ni gani?
Nitalipa au nitakuja ofis zako zilipo!
Greetings, am having a huawei E560s mobile wifi. Are you able to unlock it?
Habari fundi,
Nina nokia aina ya c7 tatizo lake ni kujizima na kujiwasha.
itakua na tatizo gani?
Nokia C7 ni sl3 nokia phone,
Kwanza bofya *#06# ku check serial number kama ipo safi
ikiwa safi inakua kama 352829057605137
ikiwa chenga inakua 123456??????
ikiwa chenga husababisha kuwaka na kujizima kwa simu yako.
solution ni kupata rpl file kurekebisha sim lock.
Other ways inatakiwa kuiflash
ikishindikana ktk flashing inakua ni hard ware problem.
Ilikufika ofisini kwetu,
fika kariakoo mtaa wa uhuru, karibu na akiba bank.
ukifika call 0715353108 or 0756144060
Ni kweli bro, factory unlocking of iphones is real hard, hasa kwa simu ambazo zinatoka nje ya marekani.
Kama kweli upo serious mimi huwa na fanya kwanza kazi then ndo tunalipana.
hebu tuma IMEI ya hiyo iphone ktk namba yangu. 0715353108. kupata IMEI bofya *#06# then send me those 15 digits found.
thanks
Can u unlock toshiba regza phone, model T-01C ya Japan!
Fundi iPhone bei gani ku flash ?
Ina tatizo gani?
Ilikua na pass code
Then nikiweka wrong attempts napata iphone disabled.
Utanisaidiaje?