Iphone ngapi?? 3,4,5??
aisee fundi nina modem ya Airtel nataka itumie line zote, help.
mkuu simu yangu nokia 7230 inakuwa slow sana kuperuzi internet nataka kurestore inaniomba security code ambayo siijui nifanyeje?
mkuu simu yangu nokia 7230 inakuwa slow sana kuperuzi internet nataka kurestore inaniomba security code ambayo siijui nifanyeje?
Nina htc desire hd2 haitaki kuingiza whatsapp wala app yoyote.
Nahitaji ku upgrade to windows 7
Itakua bei gani??
Nina htc desire hd2 haitaki kuingiza whatsapp wala app yoyote.
Nahitaji ku upgrade to windows 7
Itakua bei gani??
U cant.. htc ni android phones labda akuwekee custom roms MIUI ni bomba zaidi..
I stand to be corrected
Kaka mtaalam naomba msaada wa namna gani ni connect my blackberry 9700 na internet. Ndio kwanza naanza kutumia aina hii help please.
mkuu simu yangu nokia 7230 inakuwa slow sana kuperuzi internet nataka kurestore inaniomba security code ambayo siijui nifanyeje?
hiyo ipeleke akaifanyie flashing ili ianze na upya.
Bwana Fundi respect sanaahh,,cheki PM and help me
mkuu lg from ATT sim unlock pin here is imei 354552658426584
please send me its unlock codes
use this platform please to submit your order ..::Kariakoo Online Fundi Simu System::..
then send 20,000/= via provided numbers