nina simu yangu ya Nokia x6 naipenda sana hii simu yangu ni origina tatizo nilichelew ku update fame ware yake imejilock kabisa haiwaki tena nafikiri mpaka kuiflash nitashukuru kama utanisaidia hii kazi naipenda san simu yangu,utanifanyia kazi ndio nikulipe hela ikikataa tutagawana hasarabut hope utaiweza.nipo posta DSMNo need to hurry,
when unlocks available i will contact you.
coz i have all your phone details into my online ordering system.
nina simu yangu ya Nokia x6 naipenda sana hii simu yangu ni origina tatizo nilichelew ku update fame ware yake imejilock kabisa haiwaki tena nafikiri mpaka kuiflash nitashukuru kama utanisaidia hii kazi naipenda san simu yangu,utanifanyia kazi ndio nikulipe hela ikikataa tutagawana hasarabut hope utaiweza.nipo posta DSM
nina camera aina ya SONNY haisomi vzr memory card, nikiiweka inanambia memory card locked au re-insert memory card, hili tatzo limekuwa likijirudia mara kwa mara! unaweza kuirekebisha?
dada white kile kidude kwenye adapter nilikuwa nahisi tatzo lipo hapo lakn ilifika mda nkanunua adapter nyingne na memory card mpya tatzo likaendelea kuwa lile lile.......Kuna kaswitch kapo kwenye memory kadi zingatia hako wakati unaiweka hata mimi nilishapatwa na tatizo kama hilo kumbe kale ka lock kanajilock wakati naingiza me card.huwa kapo kwenye adapter au memory card kwa pembeni.
Hapo sina la kuongeza mi sio fundi dia nilijaribu tu nione kama itakusaidia.dada white kile kidude kwenye adapter nilikuwa nahisi tatzo lipo hapo lakn ilifika mda nkanunua adapter nyingne na memory card mpya tatzo likaendelea kuwa lile lile.......
Hapo sina la kuongeza mi sio fundi dia nilijaribu tu nione kama itakusaidia.
Hapo sina la kuongeza mi sio fundi dia nilijaribu tu nione kama itakusaidia.
Plse mkuu nina Blackberry Touch verizon.Can u unlock it? maana siwezi kutumia data
xp 45 phone change language from Germany to English plz
currently xp 25 simvaley can be done.
currently xp 25 simvaley can be done.
Fundi nina htc hd2 ina windows 6,
can u do android for it?\how much ?
how long?
yes kwa 60,000/=
time is half an hour
New solutions and softwares added