Fundi rangi wa miaka ijayo

Fundi rangi wa miaka ijayo

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Posts
6,746
Reaction score
6,657
unatoka job unawakuta madogo(watoto wako),wako katika hali hii eti walikuwa wanapaka rangi utafanyaje?
 
Attachments

  • 1420817324700.jpg
    1420817324700.jpg
    33.4 KB · Views: 2,445
Nikiwakuta hivyo......cha kwanza nitawaangalia kama walikula.......hilo ndo la muhimu kwangu.......otherwise nitawatengea chumba chao niwanunulie na rangi zingine wachezee.......chini ya uangalizi.........
 
Nataka nije huku kwa mapunziko lakini wakati wa joto baridi siewezi.

Karibu sana.........wakati wa baridi hata mimi huwa nakuwepo Yaeda...........kwa sasa nipo Yaeda karibu.........
 
Nikiwakuta hivyo......cha kwanza nitawaangalia kama walikula.......hilo ndo la muhimu kwangu.......otherwise nitawatengea chumba chao niwanunulie na rangi zingine wachezee.......chini ya uangalizi.........

Garage ndio ingekuwa ngome yao, huko wachore mpaka walale wakiamka waendeleee
 
Nikiwakuta hivyo......cha kwanza nitawaangalia kama walikula.......hilo ndo la muhimu kwangu.......otherwise nitawatengea chumba chao niwanunulie na rangi zingine wachezee.......chini ya uangalizi.........
motherly care....lols, full udhungu, kibongobongo ntacharaaaza mboko
 
Kumpiga anakua sugu........mpe adhabu..........akikumbuka hatafanya.........ila wa kwangu nawapa hilo zoezi mara kwa mara Ili walizoee waone kawaida wasifanye tena.........
 
Back
Top Bottom