Fundi nguo/cherehani anahitajika

kindili kindili

JF-Expert Member
May 27, 2013
242
54
Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhali PM.
 
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhar PM.
Uwezo ninao mkubwa ila sjaelewa fundi anahitajika kuna tenda yakufanya aidha unifom or sare ya harusi nk au nikwamba awe wakwako moja kwa moja? Hapo ndo ishu but kwa kazi maalumu naweza kuja popote japo nko mbali ila kuniajiri hutaweza
 
ooh nataka awe wa kwangu moja kwa moja..ingawa na mimi nipo hapo muda mwingi...haya sawa huko huna mafundi waliomaliza maliza course wanatafuta kazi? mimi ata nikianza na 0 experience ni poa, ntamuelekeza mitind.... ntakuona kwa kazi harusi mara nikipata.
 
Usjali mkuu nikipata ntakuambia kwasasa ndo nna wanafunzi
 
Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhar PM.
Mkuu naomba kujua yafuatayo;
1: Ajira yako kudumu.
2: Je, unaweza kunidokeza kuhusu planned salary ata kw a roughly PM.
3: labda huyo fundi awe anajua zaidi juu ya nguo za kike au kiume.
4: Ninaye ndugu yangu yuko morogoro ni fundi wa siku nyingi. Ni mzuri wa nguo za kike. Ana mke mmoja na mtoto mmoja. Ukiona hapa issue nitafute PM nikuunganishe.
 
Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhar PM.
Mkuu kuna mdada nilimlipia ada ya miezi mi3 llkamaliza lakini bado hajawa na uzoefu wakutosha..

Hiv sasa yupo nyumbani tu hapa tabata chang'ombe,je atakufaa?
 
Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhali PM.
ukimpata uniambie mimi nauza vitenge natafuta fundi ili nizidi kukuza mtaji kitenge 35000 fundi apige 40000 ila mimi ntaweka cha juu 20000 unitafute mkuu
 
Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhali PM.
Mkuu bado unahitaji huyo mtu maana Nina mdogo wangu na nilitoa tangazo mda mrefu
 
Vip hiyo nafasi bado IPO Mkuu yupo mmoja anaekaa hapa tabata kimanga nazan sio mbali na hapo kisukuru anajua kushona vizur nakudarizi pia hana haja yakupangishiwa chumba mawasiliano 0756493645
 
nawasiliana nae..asante sana mkuu
 
Wana jamvi, natafuta fundi wa kushona nguo za aina mbali mbali, awe mwenye kujituma na mchapakazi, ofisi iko TABATA Kisukulu, akitokea maeneo haya itakua nzuri zaidi, aidha mwajili anaweza kumpangia chumba maeneo ya jirani mara baada ya kukubaliana mshahara.
Kama una ndugua au uwezo huo tafadhali PM.
Mkuu, kuna binti kahitimu kozi ya ushonaji chuo flani Morogoro, anashona nguo siku hizi lkn hajapata experience ya kutosha, Kwa kuwa unasema utamfundisha mitindo mingine, na kwamba utampangishia chumba, Yupo na anahitaji hiyo nafasi, naomba tuwasiliane Kwa namba za Simu : 0759641184 na 0787542381.Uwe na Majukumu mema !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom