Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Fundi Maiko anakuhakikishia kabisa utapata kitu na box kama picha inavyoonyesha. Kwakua likizo yako ni ya wiki tatu, wiki ya kwanza ulimtafuta fundi, wiki ya pili mlishughulika na kibali cha ujenzi pamoja na kuna vifaa. Wiki ya tatu mchumba msingi na unapata jamvi limemwagwa.
Unatuma pesa kutoka huko uliko, likizo inayofuata unakuta hali kama hapo juu. Fundi kama ramani hukuielewa si ungesema tangu mwanzo nitrite fundi mwingine!