Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,326
- 111,541
Je, unaweza ukataja tafsiri za "mirror" na "glass" kwa kiswahili?wanaume wa dar mna vituko sana,mwanaume una kioo kikubwa hivyo ili uwe unajitazama vizuri da!
Je, unaweza ukataja tafsiri za "mirror" na "glass" kwa kiswahili?wanaume wa dar mna vituko sana,mwanaume una kioo kikubwa hivyo ili uwe unajitazama vizuri da!
mirror ni king'amuzi na glass ni kisambuzi,una swala jingine?Je, unaweza ukataja tafsiri za "mirror" na "glass" kwa kiswahili?
Hii ndo Tz na watu wakemirror ni king'amuzi na glass ni kisambuzi,una swala jingine?
nimesaahau namba yako mwisho inaishia na ngapi vile🙂Hivi kweli hilo ni swali?
[emoji16][emoji16][emoji16]wanaume wa dar mna vituko sana,mwanaume una kioo kikubwa hivyo ili uwe unajitazama vizuri da!