Fundi - Kioo cha Chumbani

Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,328
Points
2,000
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,328 2,000
Salaam,

Nilivunja kioo changu bahati mbaya kama kinavyoonekana pichani.

Naomba mwenye kujua mahali au fundi hapa DAR anayetengeneza vioo anijuze tafadhali.

Mawasiliano yake au mahali anapopatikana.

Wasalaam wapendwa,
Mentor.
2103067_15619563156172.jpeg
 
Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
2,636
Points
2,000
Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
2,636 2,000
Duh wikiendi ilikuwa tamu aisee
Yaani mme jirusha toka kitandani hadi kwenye kioo.
Kiongozi pole kwa kazi na uchovu mzito.!!
Au vumbi la Congo lilichukua hatamu?
 
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
2,090
Points
2,000
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
2,090 2,000
wanaume wa dar mna vituko sana,mwanaume una kioo kikubwa hivyo ili uwe unajitazama vizuri da!
 
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
17,481
Points
2,000
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
17,481 2,000
Hivi kweli hilo ni swali?
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,365
Points
2,000
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,365 2,000
Mkuu kutengezeneza kioo ni mpaka kiwanda ila kama ni marekebisho unaweza kumpata, ila hapo si unatia gundi unaunganisha?
 
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Messages
2,401
Points
2,000
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2015
2,401 2,000
Mkuu mtafute fundi aliyekuchongea
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,501
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,501 2,000
mnhhh ni kweli unatafuta fundi?? fundi kioo mpoo…???? mnhhhh
 
danikiruma

danikiruma

Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
73
Points
125
danikiruma

danikiruma

Member
Joined Feb 25, 2019
73 125
Salaam,

Nilivunja kioo changu bahati mbaya kama kinavyoonekana pichani.

Naomba mwenye kujua mahali au fundi hapa DAR anayetengeneza vioo anijuze tafadhali.

Mawasiliano yake au mahali anapopatikana.

Wasalaam wapendwa,
Mentor.View attachment 1143351
Mtafute huyu mwamba ndio kazi zake hizo 0654886585
 
Jr. Gong Mira

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Messages
1,071
Points
2,000
Jr. Gong Mira

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2017
1,071 2,000
Salaam,

Nilivunja kioo changu bahati mbaya kama kinavyoonekana pichani.

Naomba mwenye kujua mahali au fundi hapa DAR anayetengeneza vioo anijuze tafadhali.

Mawasiliano yake au mahali anapopatikana.

Wasalaam wapendwa,
Mentor.View attachment 1143351
Kwani hicho cha mwanzo ulikipata mbinguni ata imekua hujui utapata wape tena kma hicho!??
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
6,306
Points
2,000
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
6,306 2,000
Salaam,

Nilivunja kioo changu bahati mbaya kama kinavyoonekana pichani.

Naomba mwenye kujua mahali au fundi hapa DAR anayetengeneza vioo anijuze tafadhali.

Mawasiliano yake au mahali anapopatikana.

Wasalaam wapendwa,
Mentor.View attachment 1143351
Ilikuaje ukavunja?
 
Forum statistics

Threads 1,342,578
Members 514,720
Posts 32,756,481
Top