Fundi cherehani mzoefu anatafutwa

Fundi cherehani mzoefu anatafutwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Natafuta fundi cherehani mwenye uwezo kushona nguo aina zote ikiwa ni pamoja na kudarizi
Anatafutwa ili ampatie mdogo wangu uzoefu baada ya kumaliza shule ya kushona.

Atanufaika kwa nini?

1. Hatalipa kodi ya pango
2. Hatalipa umeme na gharama za ulinzi

Mgao wa kusona:
1. Tutagwana kwa maelewano ya share
Wasiliana na 0713 68 96 65

KARIBUNI
 
Back
Top Bottom