1:Nilikuwa NAPITA barabarani, nikaumwa na nyoka. Nani atanisaidia?
2:Nilitumwa na mama KUSAGA UNGA; njiani nikakuta mto umefurika! Nitavukaje?
3:Mtoto mdogo anazikwa kaburi la futi tatu. MTU MZIMA atazikwa kaburi la futi ngapi?
Haya ni baadhi ya mafumbo yanayo zingua sana kipindi cha utoto!
Je wewe unayajua majibu yake?
1: Atakusaidia PITA
2: Unga hausagwi,yanasagwa mahindi.
3---
ongezea na ya kwako!!!