Fumanizi

Mie nilishuhudia fumanizi.
Jamaa kamfumania mkewe anagegedwa uwanjani mida ya saa moja kigiza ndo kinaanza kuingia.

Alikuja na panga.
Bahati tu mchepuko wa kiume ukachoropoka fasta.

Kichapo alichopewa mwanamke ni heavy.

Fumanizi ni kuabishana tu.
Sidhan baada ya tukio mtaishi kwa kuaminiana, kushirikiana.

Taswira ya mkeo/mume akipewa raha na mchepuko haitoki kamwe kichwani, itakuwa inaji review in a slow motion...😡😡😡
 
Me nafikir jambo la msingi nala maana nikukataza michepuko na siyo kuzungumzia aibu ya kufumaniwa...kwa hiyo unataka hadi uletewe au upeleke magonjwa ndani ndo useme kuwa kuchepuka haitakiw,kufaminiwa kuendelee ili wengine wenye kuwaza tabia hiyo waache...
 
Hahahah sheghiidah asee Mrs Dago muone junior.Cux kafumaniwa hahahahah

Hahhahaha hiyo nouma sana... ila mbele ya mtoto wa kitanga upo ladhi ufumaniwe!!! sema shem wangu hana nguvu za kunikimbiza kiasi hicho
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwenye fumanizi wa kupigwa au kulalamikiwa ni mpenzi wako au yule uliemkuta nae.... hii nayo ni mtihani!!!!
 

Kumbe bado tuna watu wenye busara nchi hii! Big up!!
 
ha ha ha mambo ya kufunga mtaa...!!!
naomba tu niishie kuyaona kwa shigongo
 
Mimi hata nimfumanie boyfrend wangu na mwanamke mwingine, sitopiga kelele kamwe, kwa nini nijidhalilishe mbele za watu akhuuu. Ntatafuta tu means ya kumuonesha kuwa nimemuona live, nikimaliza huyo nasepaaa. Kitakachoendelea kati yangu mimi na yeye, atakijua atakaponitafuta.
 
Ukiona mpaka anamfumania mbele ya vyombo vya habari ujue huyo mwanamke kavumilia misalaba ya kutosha...

Amefikia point kwamba liwalo na liwe

Na hajali tena kuhusu kesho ya uhusiano itakuwa wapi

Kuna wanawake wanapitia maswaibu makubwa ya kutisha kutoka kwa waume zao....
 
Hahahahah Mrs.Dago katuna huyo hadi raha na alivyo sasa mwili jumba mkono kibanda hatareee sana huyu

hapo akikukalia tu kwisha habare yako... sipati picha akiwa na Mr Dago
 
Last edited by a moderator:
Katika vitu ambavyo nimeapa kutoshughulika navyo ni kufumaniana, kwa kweli nikimfuma mtu na mke wangu namuachia, SINA HATA HAJA YA UGOMVI HATA KAMA ITANIUMIZA LAKINI SINTOKUWA NA UWEZO WA KUBADILISHA FEELING ZAKE, KAMA YEYE ANAJISIKIA YUKO HAPPY NA MTU MWINGINE KULIKO MIMI THEN I WILL BE SORRY FOR MYSELF AND MOVE ON.
 
kama wewe na mkeo/mumeo mna miaka zaidi ya 3 ndani ya ndoa ,mtu akamchukua kwa masaa 2 tu kwanini upagawe?Kinachofuata we mchukue mwenza wako mrudi nyumbani maisha yaendeleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…