tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,754
Kazi gani aipige?
wakati kila siku zinafyatuliwa mpya
Akimshauri ataelewa tu ni kazi gani
Imefanyaje kwani
Wana JF poleni na majukumu. Nina rafiki yangu wa karibu sana, ana mke na Mtoto 1 Yuko STD 5 boarding, Shemeji yangu Mashallah amejaaliwa sector zote, hawajajaaliwa kupata Mtoto mwingine, tatizo limejitokeza jumamosi iliyopita, rafiki yangu hata tabia ya kushika simu ya mke wake, siku hiyo jamaa alikuwa sebuleni na shemeji Yuko jikoni japo simu ameacha sebuleni, mara msg whatssap ikaingia jamaa akajikuta anaichukua simu na kufungua msg, kwa jina na Husna japo picha ya prifile niya kiume, ''honey nimeku miss kama Jana hatukuwa pamoja, njoo basi Hunters tupate wine niko alone, jamaa yangu akaishiwa nguvu, ila akaijibu! '' Nakuja sweetheart' muda huo huo akamwambia mke wake watoke kuna emergency,wakatoka mpaka block 40, akachukua vijana 3, wakati huo alikuwa ame
Eti bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kadanganye mambumbu wewe. Unafikiri watu wengine hawafuatilii habari. HUNTERS ILIUNGUA WIKI ILIYOPITA NA HAITOI HUDUMA. Kakojoe ulale na stori zako za kutunga. Na mnaochangia thread hizi za uongo na nyie ni waongo pia.Wana JF poleni na majukumu. Nina rafiki yangu wa karibu sana, ana mke na Mtoto 1 Yuko STD 5 boarding, Shemeji yangu Mashallah amejaaliwa sector zote, hawajajaaliwa kupata Mtoto mwingine, tatizo limejitokeza jumamosi iliyopita, rafiki yangu hata tabia ya kushika simu ya mke wake, siku hiyo jamaa alikuwa sebuleni na shemeji Yuko jikoni japo simu ameacha sebuleni, mara msg whatssap ikaingia jamaa akajikuta anaichukua simu na kufungua msg, kwa jina na Husna japo picha ya prifile niya kiume, ''honey nimeku miss kama Jana hatukuwa pamoja, njoo basi Hunters tupate wine niko alone, jamaa yangu akaishiwa nguvu, ila akaijibu! '' Nakuja sweetheart' muda huo huo akamwambia mke wake watoke kuna emergency,wakatoka mpaka block 40, akachukua vijana 3, wakati huo alikuwa ame
Nimecheka sana kumbe dogo anadanganya tu
Alimwambia aseme ukweli ili amsamehe, ndiyo akasema anafanya kazi jengo moja, akitoka anamsaidia lift jion wakati mwingine asubuhi, akamtongoza, Sasa aliogopa kumkatalia kwa kuhofia kunyimwa lift, akawa anamrusha rusha, mwisho wa siku jamaa alimzidi ujanja akajikuta anatembea nae, ila amekataa kusema ametembea nae mala ngapi.
Mijianaume mijinga kama hilo halihitaji ushauri!. Hata huyo mke ni kiazi fulani!.Wana JF poleni na majukumu.
Nina rafiki yangu wa karibu sana, ana mke na Mtoto 1 Yuko STD 5 boarding, Shemeji yangu Mashallah amejaaliwa sector zote, hawajajaaliwa kupata Mtoto mwingine, tatizo limejitokeza jumamosi iliyopita, rafiki yangu hata tabia ya kushika simu ya mke wake, siku hiyo jamaa alikuwa sebuleni na shemeji Yuko jikoni japo simu ameacha sebuleni, mara msg whatssap ikaingia jamaa akajikuta anaichukua simu na kufungua msg, kwa jina na Husna japo picha ya prifile niya kiume, ''honey nimeku miss kama Jana hatukuwa pamoja, njoo basi Hunters tupate wine niko alone, jamaa yangu akaishiwa nguvu, ila akaijibu! '' Nakuja sweetheart' muda huo huo akamwambia mke wake watoke kuna emergency,wakatoka mpaka block 40, akachukua vijana 3, wakati huo alikuwa ameshanitaarifu, ndiyo wakaenda Hunters, kufika jamaa akamwambia mke wake atangulie ndani wanamaongezi, alipoingia ndani kutafuta pa kukaa, jamaa akamuona akawa anamuita '' honey niko hapa njoo'' jamaa nao wakawa wamefika, ikawa ugonvi kumpiga jamaa, ila nikawa nimefika nikaamulia japo jamaa alikuwa kaumizwa kidogo, ktk kumhoji jamaa alionekana hana makosa maana aliambiwa hajaolewa, mke alikiri kumwambia hivyo, ala anaomba msamaha, unamshauri vipi ndugu yangu?
Nikiongea neno moja tu nitabubujikwa na machozi kwa jinsi ulivomisiwa na nafsi yangu...!
hapo hana mke kwasababu huyo dada hata acha, nina rafiki yangu tena tunaishi jirani yuko kama huyo dada habadiliki na mbaya zaidi yeye kila atakaemtongoza alimradi ana pesa ni twende na kwa kuwa ni mzuri sana basi ni kutongozwa kila siku anawapanga tu, yani ile ndoa yao ni bora ndoa
aisee....!
bado nimepigwa na bumbuwazi! how comes ndoa inachukuliwa kirahisi rahisi hivyo kama mchezo wa kuigiza? hajaolewa wakati ana mume jamani?:A S 13:
mkuu Rich Pol, naomba umalizie hicho kisa! jamaa baada ya hapo alimfanya nini mke wake?
Huyo mwanamke si anajinadi hajaolewa?
Mshauri jamaa yako apige kazi mkewe ajione kweli yuko kwenye ndoa!!!
Atapigana kila siku!
ni kweli kabisa huwezi kuchunga mtu na hapo hakuna ndoa tena! Tena ndo wataendelea kuiba sana tu.binadamu wanyama wabaya kuliko wote dunianiNdpa inahusisha watu wawili wenye jinsia mbili tofauti
Wanaokubaliana kuitengeneza hiyo ndoa
Mtu ambae ni mwanachama wa hiyo ndoa akiamua kuivunja hakuna namna
Hata mwanachama mmoja akiamua kutumia alivyonavyo kama pesa na mabavu kuirudisha haitasaidia
Kumlazimisha mmoja kati ya wanachama hao kubaki ndoani ni kupoteza muda
Hakuna mwenye uwezo huo wa kumlazimisha mtu yoyote kufanya hilo
Huyo jamaa anataka kujaribu kupanda mlima kilimanjaro kwa baiskeli
Mkewe ameamua kuutumia mwili wake atakavyo,ataweza kumzuia?
Leo atampiga huyo jamaa kesho mkeo atampelekea dawa na chakula kwa kipigo ulichompa tena kwa hela zako mwenyewe
Utafanyaje ukisikia hilo?
Utaenda kuua?
Acheni kupoteza muda kwa mambo yasiyokuwa na msingi
Huwezi kumpangia mtu namna ya kuutumia mwiliwake!