Yaani hapo unafata msemo wa mababu zetu HERI LAWAMA KULIKO FEDHEA. unalianzisha unatoka nduki tu, huyo mama hapo mbele keshakusogezea kanga unachukua unaishia
hii picha ilishaletwa hapa,ni mgonjwa wa akili watu walimpiga mpaka kumuua wakidhania ni mwanga.....baadae ilikuja kugundulikana ni mgonjwa wa akili ana certificates kutoka muhimbili kuonyesha hilo....
Huyu jamaa hakuwa mwanga wala kufumaniwa ni mgonjwa wa akili ni fundi wa cherehani tena alikuwa maeneo ya jirani na nyumbani ila watu wenye mawazo finyu na kuangalia upande mmoja walimdhulumu maisha yake. Lord forgive them for they know not what they do. Pumzika kwa amani kaka. Ndio Bongo yetu roho haina thamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.