Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Aisee dushe limeenda!
Unazungumzia mkoa upi? Tanga au Mjini Magharibi?
Ah kumbe unazungumzia wale washamba wanaochambia magunzi?? Basi sawa.uko sio mikoani, mbona huko ndo wale wale walamba chips?? Nazungumzia Tabora na Shinyanga na Ng'wansa tunapokulaga ugali ule wa chungu na mabele na sato. Ugali unajikatia mwenyewe kutoka kwenye chungu na mabele unajimiminia kutoka kwenye kibuyu
Dah hiyo ni noma, amrudie mwenyezi Mungu na aache huo mchezo,.....next time watapitia kichwa kikubwa.
Akikuita tumia fursa mkuu![]()
![]()
najiandaa kuitwa na NW
Adhabu yake ndogo kakatwa tuu...mbona hii siyo adhabu ni utani huu.Makinika na tahadhari ya pichaView attachment 672570naomba radhi kwa wale wote ambao hawatapendezwa na maudhui ya picha....
Cha mtu sumu... Jihadhari yasikukute... Hujui katoka naye wapi na wamepitia mangapi...
Binadamu anapoguswa hisia zake za ndani hugeuka katili kuzidi mnyama
Kivipi sasa? Unakutwa tu paaap wababe kama sita wanakutight waliotumwa kukamilisha mpango, upo na msichana usiyejua kumbe mke wa mtu, jamaa wanakuvua na shaaa washakata wanakuachaHaya ndio mambo sitakuja kufanya maishani mwangu
Kivipi sasa? Unakutwa tu paaap wababe kama sita wanakutight waliotumwa kukamilisha mpango, upo na msichana usiyejua kumbe mke wa mtu, jamaa wanakuvua na shaaa washakata wanakuacha