Fumanizi...!

Fumanizi...!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,222
Reaction score
829,225
Makinika na tahadhari ya picha
IMG-20180110-WA0062.jpg
naomba radhi kwa wale wote ambao hawatapendezwa na maudhui ya picha....
Cha mtu sumu... Jihadhari yasikukute... Hujui katoka naye wapi na wamepitia mangapi...
Binadamu anapoguswa hisia zake za ndani hugeuka katili kuzidi mnyama
 
Wanaume wa dar hao. Mikoani angevunjwa miguu na mikono ndio wafikie ikulu. Pole zake sasa sijui kaachiwa mke au ndo kaukosa uume na mke
 
Aiyaaaa kavunjwa utam wake jamaaa,dah!!! huyo alomfanyia hivi mwenzie na alaaniwe kabisaa,kumuondolea mwenzake 'nema' si jambo jema hata chembe,bora angemtoa jicho la kushoto lakini sio pepo dunia...
 
Back
Top Bottom