Fumanizi lipi linaumiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fumanizi lipi linaumiza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by semmy samson, Dec 29, 2010.

 1. semmy samson

  semmy samson Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du??!!!!!!!
  Tena hiii kali
  sasa wakuu kuna hiki kisa ambacho sijui mnakionaje

  "assume we mwanaume umetoka safari umerudi home ukakuta mkeo anachezewa kifua na mshkaji mwingine utajiskiaje au we utareply vipi kwa hilo" vivyo hivyo ''we mwanamke unatoka sokoni unaambiwa mmeo yupo gesti na shost flan hivi we utajiskiaje au umkute mwenyewe anakula tunda kwa mwingine utareply vipi''????

  kwa ufupi nani anawivu mkali zaid, mwanamke au mwanaume akikuta mpenzi wake anafanya mapenzi na mwingine?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wote kama wanapenda wenzi wao!
   
 3. semmy samson

  semmy samson Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jichukulie ni wewe umefumania
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbaya zaidi ukute mkeo/umfumanie anapigwa back wakat wewe hujawa onja hiyo
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sinimesema wote?Maana yake hata mimi nimo...kama nampenda ntaumia!
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Nitasema siku hiyo litakapotokea siwezi kusema uamuzi gani nitachukua siku hiyo!
   
 7. semmy samson

  semmy samson Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuuuuu?????? Kaka najinyonga!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Fumanizi linaloumiza ni moja tu,ni lile ambalo unamkuta mkeo/mmeo ana do na mwenzi wake halafu katika kufumania, mfumaniwa anakuzidi mbio na anatokomea bila kupata adhabu.Yaani kwa kifupi amekulia vya kwako na amekukimbia.
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Unaonaje lile la jamaa yako unayemfahamu anakitu cha uhakika halafu chako cha kishikaji na kila siku mkeo analalamika anasema anapenda ingekuwa kubwa.Then unamkuta anakula Tigo wakati mkeo huwa anakushawishi wewe hutaki?
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Next to impossible,hizi naona kama imagination na hazipo in real life.
   
 11. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  litauma ila si sana kama na wewe si mwaminifu kwa mpenziooooooooo, wazee ile mambo usiombe yani mi ilisha nikuta sitaki kukumbushia kwani nilimvuta shost kwa ndani nikaanza kumpa mapigo yangu mpaka akasinzia hapo hapo mi naendelea tu nilipo choka nikageuza upande wa pili yani ni mpaka akazinduka tukaendelea yani mpaka kesho yake ni moja kwa moja hospital yupo hoi anaumwa
   
 12. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  [​IMG] wewe bisha tu!   
 13. semmy samson

  semmy samson Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebwanae sasa kaka ilikuaje baada ya hapo alifufuka?

  Unajua kinachoumiza nini unakuta we ni mwaminifu sana tu halafu yeye si mwaminifu unajua unawza kumpeleka mtu ahera papo hapo>!!!!!!!
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mh ebu mie niwapishe awa walioanza MCHEZO MBAYA WAHABARISHANE.
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Sio kwamba nabisha ila najiuliza tu hiyo itakuwa co incidence ya aina gani, 1:Fumanizi 2:Size ya mfumaniwa 3: Tigo . Yote hayo?What a co incidence?
   
 16. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  mwenye wivu mwanamume bwana.
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Sawa mtoto mbaya,lakini asi ungefunga macho tu usisikie.
   
 18. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  mtu aliambiwa akamfumanie mkewe mara baada ya kuchungulia ili apate uthibitisho akakataa akasema mke wangu sio kilema, kuangalia vizuri kumbe ni ilikuwa na style jamaa kamkunja huyo bibie. Just imagine ni jinsi gani hilo fumanizi linavyouma.
   
 19. semmy samson

  semmy samson Member

  #19
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli mtu wangu yaani unawza usipende tena.......
   
Loading...