Fumanizi la weekend

Fumanizi la weekend

Usiombe yakukute hata lakufanya hulioni wallah
 
kama unaamua kumwacha mwenzi wako hakuna sababu ya kumdalilisha maana mnajidhalilisha wote ... kwanza ni vyema ujiangalie wewe binafsi usafi wako kuliko kuangalia uchafu wa mwenzako

Usafi upi unaouzungumzia wewe? Kama ni mwaminifu kwa yeye tu na sichepuki haitoshi kuniita MSAFI? Na kama aliona mi mina matatizo solution yake ikawa ni kuchepuka basi na mimi solution yangu ni kumuitia mapaparazi kama hivii....
 
1409602404807.jpg
 
Kuna watu wanatomba vitu vya ajabu sana
 
Usafi upi unaouzungumzia wewe? Kama ni mwaminifu kwa yeye tu na sichepuki haitoshi kuniita MSAFI? Na kama aliona mi mina matatizo solution yake ikawa ni kuchepuka basi na mimi solution yangu ni kumuitia mapaparazi kama hivii....

wengi huangalia kibanzi kwenye jicho la mwezi wako kuliko bolt iliyoko jichoni mwako .. sasa unapumuitia mapaparazi ukimalizana kumdhalilisha unarudi naye nyumbani ???? kumbuka hapo utakuwa unamdhalilisha mkeo/mmeo na bado atatambulika kama mkeo/mmeo hivyo aibu lazima iwe kwako
 
Niende nae wapi? Hapo tukitoka kila mtu anaangalia ustaarabu wake
 
Back
Top Bottom