Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
Hivi kwa nini wanawake huwa wanazificha sura zao kwenye hizi picha za mafumanizi tofauti na wanaume ambao huonekana kutojali Sana?
Mwanaume siku zote huwa hajioni mkosaji.....hata kama moyoni anajisikia vibaya atajikakamua aonekane yupo kawaida tu....
Ni nini faida ya mafumanizi na kuanikana ?? je aibu ni ya nani ? baada ya hapo nini kitafuata?
Anawaza mwenzake alivyoliwa tigo
Talaka....unamuanika ili dunia nzima imjue kwamba ye ni mchepukaji....lazima itamcost mbele ya safari