Ukiona umefumaniwa jua unapendwa
Mkuu unatisha Mbuzi Mzee .. Mpaka unagombaniwa hivyo.. Unawafikishaga nini juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro..?
tatizo ni kwamba akiwafikisha huko anawaacha washuke wenyewe ndio maana unaona maugovi kama haya
Hivi nafasi ya kupiga hizo picha ilipatikana vipi?
Au ni maigizo?
Hivi nafasi ya kupiga hizo picha ilipatikana vipi?
Au ni maigizo?
Ukiona umefumaniwa jua unapendwa
Huyo mfumaniwa mbona yuko fiti kuliko mfumaniwaji?
Hivi nafasi ya kupiga hizo picha ilipatikana vipi?
Au ni maigizo?
Hiyo ilitokea 2012 kama sikosei maeneo ya T/Segerea ilishaandikwa sana kwenye moja ya magazeti la Global PublishersHawa walikuwa wanamgombea Mkuu.@Mbuzi Mzee hapo ni mjini Tanga...................