Fumanizi kitaani kwetu

Mh pale mapenzi yanapotathminiwa kwa mali!! Gari si mapenzi jamani .

Ingawa sijapendezwa na alichokifanya mdada huyu lakini tusijudge kwa kuangalia upande mmoja tu.......... ndoa ni changa kisha mdada akaamua kuichakachua na mpaka rangi........ kuna sababu si bure na inawezekana moja wapo kati ya haya ni kweli;
1. Hulka ya huyu dada........hakuwa ametulia ni kicheche kilichobahatika kuolewa- so hakuona ugumu (kama ni kweli) Kuteremsha gagulo na kumruhusu mpaka rangi kufurahisha zunga lake. Na kama ni hivyo basi ni wazi kama hakuwa mpaka rangi basi angepewa houseboy au mlinzi.

2. Mpaka rangi na huyu dada walikuwa wana uhusiano tangu zamani pengine kabla huyu dada hajaolewa so wanakumbushia/endeleza penzi lao shata shata, na
3. Kuna sehemu kaka aliteleza either hakushughulika ipasavyo kama mume au alijisahau...kina kaka mapenzi si kuniletea vitu vikubwa sijui gari au nini ni vitu vidogo dogo tu, kuwa karibu na mkeo.......mwonyeshe uko naye si usubiri tu wakati wa tendo.
hivi magagulo bado yapo? sijakutana nayo muda kwenye utundu wangu

umesemea vizuri sana ila nadhani jamaa yuko busy sana na job maana uwa anarudi kuanzia saa 2 usiku, mkewe ni mpole sana na mzuri ingawa siwezi judge kitabu kwa cover na yule jamaa ni muuza urembo wa kweli maana uwa anauza mtaa mzima na aligundulika baada ya watu kumsubiri akitoka pale awapake rangi sasa tatizo ikawa akiingia pale ndio anapotea kabisa na akitoka ni nduki apigi tena debe la kazi yake
 
Kuna jamaa mpaka rangi kucha na kuuza urembo juzi kafumaniwa mtaani kwetu ndani ya geti nyumbani kwa mtu alikuwa anampaka rangi mke wa mtu halafu anammega. Sasa majirani walishtukia issue wakamwambia mwenye mali (jamaa anapiga job benki flani)

Chezo ilikuwa kila mara yule muuza urembo akiingia kwenye ile nyumba anakaa kama masaa mawili hivi na akitoka anasindikizwa tena na maurembo yake anabebewa mpk getini anasepa

Sasa juzi jamaa wa urembo kaingia watu wakamwita mwenye mali aje kufumania, ingawa hawakukutwa red handed lakini jamaa alikutwa sebuleni anapiga chai ya maziwa kwa soseji huku yule dada akiwa bafuni anaoga nadhani akijiandaa na pambano au akijisafi na pia pale sebuleni ilikutwa chupi ya yule dada sasa haikueleweka kama walishapiga cha fasta lah maana toka muuza urembo aingie mpk mwenye mali anakuja ilishapita kama dk 45 hivi

Kilichonichekesha ni kwamba jamaa walioingia kufumania ambao ni jamaa marafiki wa yule mwenye mke walimpiga mkwara yule chinga kuwa nae wanamgeuza kwa hiyo wakamkwida mavue nguo (ingawa ilikuwa ni mkwara tu) unaambiwa yule muuza urembo alipiga makelele mtaa mzima ulisikia huku anasema bora hata achomwe moto kuliko kugeuzwa au kama ni kumgeuza labde awe amekufa. Jamaa baadae alipelekwa polisi ingawa baadae nasikia alitolewa kwa kukosekana ushahidi wa kimazingira

Cha ajabu ni kwamba huyo dada ni mzuri na wameoana kama mwaka hivi umepita ndoa bado changa na pia jamaa amemnunulia gari mkewe yaani ilikuwa maswali mtaa wote wanajiuliza huyu mama alikuwa anapata nini kwa yule mmachinga

acha maswali ya kitoto, wewe hujui anapata nini kwa chinga?, si unajua jamaa wa benki akiwahi sana kufika nyumbani ni saa 4 usiku harafu anaamka saa kumi alfajiri ili awahi job, kwa hiyo ule muda wa mambo ya motomoto kitandani hapatikani, na vile amemnunulia gari bibie basi anajua amemaliza kazi asijue kuwa magari hata ya 250 yapo.
 
Kweli JF ni kiboko, Na Hii mada imeumiza wengi,
maana jana nilimsikia bosi wangu akiongea kwenye simu nadhani alikuwa akiongea na mkewe, na kauli nilizozisikia: " nimekwambia huyo muuza CD asiwe anakuja hapo nyumbani, kama unataka kununua CD nunua hukohuko hakuna cha kumuagiza kuja kuzijaribu nyumbani" Ndio, mimi nilimleta na mimi ndio nakwambia sitaki aje tena nyumbani kwangu, hao jamaa saa zingine wanakuwa wezi"
jamaa akatoka nje akiwa bado anaongea na simu kukazia ndoa yake isiyumbe na mimi kwa spidi ya umeme nikambia kuangalia komputa yake nilitoka nacheka sana baada ya kuona yupo kwenye hii peji
 
hahahahahah,umenichekesha hapa,
 
kuna jamaa mpaka rangi kucha na kuuza urembo juzi kafumaniwa mtaani kwetu ndani ya geti nyumbani kwa mtu alikuwa anampaka rangi mke wa mtu halafu anammega. Sasa majirani walishtukia issue wakamwambia mwenye mali (jamaa anapiga job benki flani)

chezo ilikuwa kila mara yule muuza urembo akiingia kwenye ile nyumba anakaa kama masaa mawili hivi na akitoka anasindikizwa tena na maurembo yake anabebewa mpk getini anasepa

sasa juzi jamaa wa urembo kaingia watu wakamwita mwenye mali aje kufumania, ingawa hawakukutwa red handed lakini jamaa alikutwa sebuleni anapiga chai ya maziwa kwa soseji huku yule dada akiwa bafuni anaoga nadhani akijiandaa na pambano au akijisafi na pia pale sebuleni ilikutwa chupi ya yule dada sasa haikueleweka kama walishapiga cha fasta lah maana toka muuza urembo aingie mpk mwenye mali anakuja ilishapita kama dk 45 hivi

kilichonichekesha ni kwamba jamaa walioingia kufumania ambao ni jamaa marafiki wa yule mwenye mke walimpiga mkwara yule chinga kuwa nae wanamgeuza kwa hiyo wakamkwida mavue nguo (ingawa ilikuwa ni mkwara tu) unaambiwa yule muuza urembo alipiga makelele mtaa mzima ulisikia huku anasema bora hata achomwe moto kuliko kugeuzwa au kama ni kumgeuza labde awe amekufa. Jamaa baadae alipelekwa polisi ingawa baadae nasikia alitolewa kwa kukosekana ushahidi wa kimazingira

cha ajabu ni kwamba huyo dada ni mzuri na wameoana kama mwaka hivi umepita ndoa bado changa na pia jamaa amemnunulia gari mkewe yaani ilikuwa maswali mtaa wote wanajiuliza huyu mama alikuwa anapata nini kwa yule mmachinga

huyo dada katii kiu yake!! Ila kakosea kumegewa ndani ya nyumba ya mume wake, mie ningeshauwa bureeeee
 
Kweli JF ni kiboko, Na Hii mada imeumiza wengi,
maana jana nilimsikia bosi wangu akiongea kwenye simu nadhani alikuwa akiongea na mkewe, na kauli nilizozisikia: " nimekwambia huyo muuza CD asiwe anakuja hapo nyumbani, kama unataka kununua CD nunua hukohuko hakuna cha kumuagiza kuja kuzijaribu nyumbani" Ndio, mimi nilimleta na mimi ndio nakwambia sitaki aje tena nyumbani kwangu, hao jamaa saa zingine wanakuwa wezi"
jamaa akatoka nje akiwa bado anaongea na simu kukazia ndoa yake isiyumbe na mimi kwa spidi ya umeme nikambia kuangalia komputa yake nilitoka nacheka sana baada ya kuona yupo kwenye hii peji
kituko kweli wewe kituko na unalo hilo bosi wako akisoma hii comment lazima akupe barua ya onyo
 
huyo dada katii kiu yake!! Ila kakosea kumegewa ndani ya nyumba ya mume wake, mie ningeshauwa bureeeee
kumegwa ni kumegwa tu hata iwe amemegewa bara lingine let say wewe huko Bongo mkeo kamegwa Afghanstan maumivu ni yale yale labda tu husijue
 
Tatizo sio wauza urembo, kama humpigi bakora kisawasawa hata ndugu zako na marafiki zako watategwa na wakiingia laini wanammega... cha msingi ni kumfanyia kazi... Timiza majukumu yako yote ya ndoa uone kama atatoka nje!!!
wengine ni tabia tu wala sio kutimiza mahitaji kuna mademu wengine wana nye.ge za kuzaliwa (BUPU) ni kama ugonjwa unaweza mtu ukachapa mashine mpk kojoleo linapauka lakini ukitoka tu m/mke nae anatoka anaenda chapwa na wengine. Sasa ukute demu ana BUPU (nye.ge mshindo) halafu wewe huko busy kama huyo benka ndio utakuta unachapiwa mpaka na vichaa
 
kituko kweli wewe kituko na unalo hilo bosi wako akisoma hii comment lazima akupe barua ya onyo

hilo nililifikiria kabla sijaandika na nikakumbuka kuwa tupo kama memba sita wa JF ndani ya ofisi na hakuna hata mmoja anaejua ID ya mwenzie
 
wanaume wa kileo wanajisahau sana wanafikiri mapenzi ni kuhangaika na kujaza mali ndani yale mambo madogo dogo na ya muhimu wanawake wanayowalilia kila siku wanayapuuzia sikubaliani na dada aliyofanya hata kidogo lakini hembu jaribuni kuwajali wake zenu not only kwenye tendo maana hata hilo tendo linaweza kuwa kama kutimiza wajibu tu kwa mwanamke lakini hamna raha yoyote anayopata na baba akaamka akijisifia amemshughulikia sana mkewe kumbe ulikuwa unaumiza .
 
Yes I think so with high probability, it seems there is no polynomial time algorithm that can be designed to compute what they really need with certainity. Probably only heuristic algorithms may apply to their wants!
hii imetulia mkuu.
 
wanaume wa kileo wanajisahau sana wanafikiri mapenzi ni kuhangaika na kujaza mali ndani yale mambo madogo dogo na ya muhimu wanawake wanayowalilia kila siku wanayapuuzia sikubaliani na dada aliyofanya hata kidogo lakini hembu jaribuni kuwajali wake zenu not only kwenye tendo maana hata hilo tendo linaweza kuwa kama kutimiza wajibu tu kwa mwanamke lakini hamna raha yoyote anayopata na baba akaamka akijisifia amemshughulikia sana mkewe kumbe ulikuwa unaumiza .
hili nalo neno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom