Fumanizi hili Guest house Iringa

Fumanizi hili Guest house Iringa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
FUMANIZI+1.jpg

Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo

FUMANIZI+2.jpg

Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania
JAMAA+AKIONDOKA+NA+MKEWE.jpg

Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani.

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.

Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.

Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha.

Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.
 
asichinjwe tuu, hicho kipigo kinatosha. mke wa mtu sumu ila mume wa mtu ..........!
 
Duu wameenda kupiga mswaki guest!Cha asubuhi kitamu
 
Duh! Anaukika kama jamaa alikua hatambui huyo ke ni Mke wa watu?
Adabu na fundisho zuri lingepatikana kwa kuwahukumu wote!!
 
Duh! Anaukika kama jamaa alikua hatambui huyo ke ni Mke wa watu?
Adabu na fundisho zuri lingepatikana kwa kuwahukumu wote!!

Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.

Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!
 
Dawa nikupiga tu mwanaume/mwanamke mzinzi tumechoka
 
Duh! Anaukika kama jamaa alikua hatambui huyo ke ni Mke wa watu?
Adabu na fundisho zuri lingepatikana kwa kuwahukumu wote!!

JAMAA+AKIONDOKA+NA+MKEWE.jpg

Jamaa amembeba juu juu kama gunia la maharage
 
Hiyo picha ya mwisho jamaa kambeba mkewe kama mbuzi wa kisusio...teh teh!!!

JAMAA+AKIONDOKA+NA+MKEWE.jpg

Hahahaha mpwa hiyo picha nimecheka sana jamaa kabeba begani kama anaenda kutengeneza supu na mpambe yupo nyuma
 
Hata kama kamfumania, hakutakiwa kumpiga, TGNP na TAMWA waingilie kati, unyanyasaji wa kijinsia huu.
Anaweza kufa kwa kipigo hiki, nani anajua kama hapata madhara makubwa ya ndani?
Ndio tatizo letu hili adhabu ya pekee tunayoijua sie ni physica and abusive violence!!
 
Mcheka chongo, halizajampata!!

Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.

Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!
 
Kipigo hakisaidii kwani kama ni tabia yake ni tabia yake tu na amshukuru Mungu kwa kushuhudia mwenye kifuatacho ni kumwacha tu na kuangalia cha kufanya kwa baadae
 
And onlookers just looked!...many of whom are women......walau huyo jamaa in RED anaonyesha masikitiko!....the rest just jeered,cheered and even sneered!

FUMANIZI+2.jpg
 
JAMAA+AKIONDOKA+NA+MKEWE.jpg

Hahahaha mpwa hiyo picha nimecheka sana jamaa kabeba begani kama anaenda kutengeneza supu na mpambe yupo nyuma

Hahahah na mwanamke katulia tuliiii na pumzi huenda kabana....maana anajua akifurukuta tu, basi mkong'oto utamuandama tena.
 
Hata kama kamfumania, hakutakiwa kumpiga, TGNP na TAMWA waingilie kati, unyanyasaji wa kijinsia huu.
Anaweza kufa kwa kipigo hiki, nani anajua kama hapata madhara makubwa ya ndani?

TGNP na TAMWA ndio walimtolea mahari huyo bwana?...acha mtu apewe mkong'oto kidogo maana hakuna taasisi inayoshughulikia mafumanizi
 
Back
Top Bottom