danali
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,135
- 1,675
Mipia nimekwamia hapa nazipataje hiz code
Link acount card yako kwenye acount yako ya paypal/walet, watakucharge small amount ambayo itakua itaambatana na code. Kuipata code nenda benki yako waombe wakuangalizie hio code ukiona longolongo nyingi omba statemen yako.
Rudi kwenye acount yako ya paypal then verify card yako kwa kuweka code (kwenye bank statement yako)
Code ni tarakimu nne zinazofuta baada ya PP (********PP**) kweny bank statement yako
Sina experince sana kwenye kuelezea bt hope umepata muelekeo