Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,057
- 35,250
Kmc wanaacha space kubwa sana wakiwa kwenye 18 yao,naona wamejipanga wapigwe nyingi
Watoto wadogo wanataka kupishana na wakubwaKmc wanaacha space kubwa sana wakiwa kwenye 18 yao,naona wamejipanga wapigwe nyingi
Ni stress tu za Mpumelelo kutofungaHii penati Yanga watalalamika😀😆😆😃
HamkosekaniMtu na dada yake wanapigana.