Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,999
- 27,975
Hawa hawapigwi chini ya bao saba.Tibaijuka alisema ukipanua hamu ndio inaongezeka, Sasa Ruvu shutingi wamepanua mapema ilitakiwa wawe wapigwa hasta 3 mpaka sazi
hukuwahi kusema tumepigwa?Banda huyu dogo huyu ni hatari sana
Wakolezewe moto wa kutosha na Barcelona yaoHawa hawapigwi chini ya bao saba.
Ukipanua hamu inaongezeka, Ruvu wamepanuaSimba 3-0 Ruvu
Chamaaa
Assist ya Muzamiru
Umemuona Banda 🔥🔥🔥Wayaaaaaaa