zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,100
- 26,113
Kuna ngekewa pia mkuuKwahiyo na ASEC walipigwa nyingi kwakua waamuzi walikuwa wabaya?? Leteni waamuzi wa ulaya basi.
Kuna ngekewa pia mkuuKwahiyo na ASEC walipigwa nyingi kwakua waamuzi walikuwa wabaya?? Leteni waamuzi wa ulaya basi.
Mi ni mkali kama huamini bus, kwenye hii safari nipo ndani ya mini bus../Unavonichukia unadhihirisha mi ni mkali...
Ngekewa tena!!!?Kuna ngekewa pia mkuu
Nenda kachekee chooni ili ufahamu urudiTutakutana tu na sisi nyie...tuone mtakapotokea
.Hao hao marefa wabovu ndo walikupa penati mechi na Namungo alishika Mayele na bado mkapewa tuta nyinyi.Ubovu wa waamuzi unauona lakini
Hahaaaa mkuuu wanachungulia humu wanaenda kuhala maana moto huu si wa mchezoUtopolo huko wanahema kwa presha siku wakikutana na huu moto watalala wakiwa hoi kiasi gani!
Ww jamaa una maneno sana khaaaManula wangemfanyia hisani apewe simu aendelee kufatilia kesi ya mbowe



Admini apewe ulinzi 😂😂😂
Simba timing yao huwa hatari sana, utopolo wanatetemeka naona wameanza kulazimisha kila goli wanalofunga Simba ni offside.Nakwambia Kuna watu huko tumbo joto wanatamani kulia aiseewataitisha sana press za kulia lia
Eeeh kwamba unataka sema ni uwezoNgekewa tena!!!?
Tatizo unamchukia mayele, na unajua ndo forward bora/Mi ni mkali kama huamini bus, kwenye hii safari nipo ndani ya mini bus../
Yanini hasi mi namawazo chanya, na huu ubaya niliuwanza kitambo sana.../
Kabisa ila wataponea kwenye kipengere cha ubovu wa marefa wa tzSimba inaweza kupokwa point
Sheria za mpira zinakataza kumpiga mpinzani goli 5 kipindi cha kwanza