FULL TEXT: Hotuba ya Mwenyekiti na KUB Mhe. Freeman Mbowe kwa umma kuhusu Janga la Corona

Ushauri kwa Kiswahili ni wingi na umoja. Kwenye ule ushauri walishauri mambo mengi sana. Wewe ni lipi hasa unaona ni la kijinga?

Halafu unatakaje CCM waunge mkono jambo la CHADEMA??
La kuwapeleka wabunge wanaojitambua karantini bila makubaliano rasmi.

Halafu akataka bunge zima liige.....kisa mtoto wake yuko kwenye karantini ya matibabu Temeke.

Ukiendesha chama kama familia yako lazima tu utakiuwa!
 
La kuwapeleka wabunge wanaojitambua karantini bila makubaliano rasmi.

Halafu akataka bunge zima liige.....kisa mtoto wake yuko kwenye karantini ya matibabu Temeke.

Ukiendesha chama kama familia yako lazima tu utakiuwa!
Kwanza CHADEMA haiwezi kufa kwa kuwa tu kuna nyie watu mnaotaka ife

La pili kila chama kina kiongozi bungeni na "Chief whip" wake. Sasa Karantini ya wabunge lilikuwa ni jambo baya? Na ili kauli ya Mwenyekiti wa chama iwe halali inatakiwa itoleweje?

HIvi kweli kwa akili timamu na utashi wa kibinadamu kuna mtu anaamini kwamba Mbowe alisema wabunge wa CHADEMA waende Karanitini kwa kuwa tu mwanawae alikuwa Karantini? Mwanawe si alishakuwa Karanntini kwa zaidi ya siku 40 wakati anatoa yale maelekezo?
 
Kabla hajafa ndugai ni lazima afungwe , hilo ulijue , Dunia haijawahi kuwa na spika duni kama huyu , kuna wakati nilidhalilika sana London kwa kujulikana kuwa mtanzania kwa sababu ya Upuuzi wa Ndugai
Kosa la ndugai ni lipi ?vipi ile kesi mliyomfungulia jk the Hague imefikia wapi maana last time niliwaona mnampigia makofi ya kummisi bungeni huwa mmejaza maharage kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom