FULL TEXT: Hotuba ya Mwenyekiti na KUB Mhe. Freeman Mbowe kwa umma kuhusu Janga la Corona

Hii sasa ndio hotuba ya kuhutubia taifa,mtu wa taifa lolote anaweza kukaa na kuisikiliza au kusoma na akakubali

Sio mtu anaongea kama anajibizana na watu magengeni huko,hata kuiandika inashindikana,Mara tutaleta watalii waka coronaize porini,mara mtu kapona anapiga push up,hata mtiririko haupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga ni nani? Wale wanaoitwa wapumbavu ni haki yao kuitwa hivyo? Hivi lugha zake yeye mwenyewe zina staha??
Katika hotuba hiyo lipi jipya ambalo Mbowe anataka Serikali ifanye kudhibiti maambukizi ya COVID-19. Hotuba imesheheni masuala yanayohusu watu, hususani kuwalslaumu Viongozi wakuu wa mihimili ya Dola (Bunge na Serikali), kwa lugha isiyo na staha, kwa Kiongozi wa ngazi yake.

Kwa jinsi anavyowadharau viongozi wenzake wa CHAMA CHAKE, anadhani ana mamlaka hayo hayo juu ya viongozi wa Dola!

Mbowe anahitaji msaada wa Daktari bingwa wa akili, haraka iwezekanavyo. Iwapo hatapata msaada huo, kabla ya Uchaguzi Mkuu, viongozi wenzake watapata shida sana.
 
Ushauri ni wa kijinga ndio maana zaidi ya nusu ya wabunge wa Chadema waliukataa.

Anayetoa ushauri wa kijinga ndio mwenye hiyo sifa ya ujinga!
Hakika ushauri wa Mbowe ni wa kijinga. Aliwaamuru wabunge wake "lockdown" na baada ya hapo wakarejea kwa wenzao ambao aliamini ni wagonjwa!!

Mjinga, ni yule anayeweka watu kwenye "lockdown" ati kudhibiti maambukizi na baadaye kuwagawia chakula kwa misongamano.
 
Back
Top Bottom