Full mipasho bungeni

Tujuze zaidi wengine tunaendelea na mikakati ya kuhakiksha jairo hasumbuliwi na kamati teule ya bunge
 
WoS, Salama.

Hebu mwaga mchele na sisi njiwa wa mtaani tufaidi, Tv zetu hazikamati bunge.

Wasalaam

MJ
 
Siamini ninachokiona. Tumefikia hapo... Wabunge wanatupiana vijembe, wabunge wanaponda usomi wa Waziri Kivuli?!
 
Mbona unakuja na vichwa vya habari tu? Lete habari kamili.
 
bunge la magamba sawa na kilabu cha ulanzi kule image,ilula kwa lukuvi
 
mbona mnaweka vitu robo robo? tuambieni basi ni kimeongelewa mpaka mkakipa hadhi ya mipasho! wengine huku kwetu Tanesco wameshafanya mambo kama kawa.
 
Kweli ni full mipasho maana hata posti yenyewe imeletwa kimipasho...
 
Mbunge anatetea Zanzibar na kuonya "Mpuuzi' yeyote atakayejaribu kuifanya Zanzibar iwe inferior. - Hii lugha haina staha ndani ya Bunge

Mbunge mwingine kamponda waziwazi Waziri wa Sheria na Katiba kwamba sijui kasomea wapi ...na maneno mengine ya kukosa staha.

Hakuna juhudi ya kupunguza ukali huu ilizaa matunda... japo kuna wabunge kama Tundu Lissu..( aliyelengwa moja kwa moja na mipasho hiyo kwa kuitwa TUNDU LUSSU!) walisimama kutaka muongozo.

Haya ni kwa uchache...

Mh Spika kawataka wawe na uvumilivu..
 
Wabunge 2 toka zanzibar wametoa maneno makali, matusi na dhihaka dhidi ya Lisu. Lisu akasimama kuomba utaratibu lkn spika Anne Makinda kamzuia kasema tuvumiliane. Rai yangu kwa spika..next time Mbunge toka CDM au upinzani wowote exluding CUF akitoa maneno makali na matusi kama haya dhidi ya CCM naomba pia tuvumiliane.
 
Hii si sahihi kwa mbungekusimama bungeni na kuanza kumshambulia mtu kwa matusi na kejeli! Hii ni baada ya mh Tundu Lisu kutukanwa na wabunge wawili wa Zanzibar pia mh Spika kukataa muongozo ktk haya! This is not right!
 
Kweli ni full mipasho maana hata posti yenyewe imeletwa kimipasho...

Una hakika...?Udaku umekusibu tu... wewe umeshaambiwa kuna mipasho...ukita details tumia lugha yenye staha badala ya kutafuta mipasho na wewe!
 
Taarifa ni kuwa kwenye uchangiaji katba na sheria Spika katoa majina ya wachangiajia kutoka zenj wawili kisha na wao kuanza kumshambulia maoni ya upinzani kuhusu muungano kuwa rais wa zazibar aruhusiwe kuingilia mambo ambayo yanahusu muungano na sii vinginevyo ila wachangiaji hao wameponda maoni hayo na matusi kwa watanzania bara
 
Hii si sahihi kwa mbungekusimama bungeni na kuanza kumshambulia mtu kwa matusi na kejeli! Hii ni baada ya mh Tundu Lisu kutukanwa na wabunge wawili wa Zanzibar pia mh Spika kukataa muongozo ktk haya! This is not right!


Vipi Mama Kommu na Mary Nagu?
 
Hii si sahihi kwa mbungekusimama bungeni na kuanza kumshambulia mtu kwa matusi na kejeli! Hii ni baada ya mh Tundu Lisu kutukanwa na wabunge wawili wa Zanzibar pia mh Spika kukataa muongozo ktk haya! This is not right!
Hebu tujuze zaidi, what really happened?
 
HOJA ILIYO HOT NI ILE INAYOHUSIANA NA SERIKALI YA ZANZIBAR ..NA SERIKALI YA MUUNGANO...Mbunge wa ZNZ analinganisha Muungano na ndoa..anasema "ukioa mke unaangalia ana sifa..na siyo huyu ana makalio makubwa au madogo."... hivyo udogo wa ZNZ si ishu....iheshimiwe.

Mh Tundu Lissu analengwa.....anaambiwa haelewi nini maana ya Urais wa kifalme! iTS REALLY HOT!
 
Hao wala urojo hata wamtukaneje Lissu, jamaa hataacha kusema ukweli daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…