The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Hewaaaa!!! Halafu yale mambo yetu bado tu ngoja sasa tuje tupige goli 2-0:doh:........wewe utapata moja special only for you...
Hewaaaa!!! Halafu yale mambo yetu bado tu ngoja sasa tuje tupige goli 2-0:doh:........wewe utapata moja special only for you...
Hewaaaa!!! Halafu yale mambo yetu bado tu ngoja sasa tuje tupige goli 2-0
Poa bhana keep ya posted!hi hi.....hata wewe Good Guy kama utaweza kuzitengeneza ila ziwe zenye quality (nadhani utakuwa uliziona zile za mwanzo) sio ziwe zinavutika kama tambara la deki....unakaribishwa.....wasiliana na support@jamiiforums kwa maelekezo zaidi.....:busu
preta, we zaidi ya kuwa premium member, ni nani humu jukwaani?
upo syria au sirini, kule chini?Nipo Syria na nimeivaa sasa
umeshawasimamisha wangapi waliovaa nguo zenye nembo fulani? Au ww ulishawahi kuulizwa. After all u r a drop in a sea, meen!fulana za nini! Ukishaona mtu kaivaa ndo mwanzo wa kuitana na kuulizana majina. Hazina maana, we leta thread za maana tu jamvini basi.
Mlimazunzu bana!Mie niko Maswa na nilikuja Dar nikaonana na Maxe akanipa pamoja na ya Mke wangu ni nzuri sana hasa hasa ile ya Dark Blue ni bomba sana
preta, we zaidi ya kuwa premium member, ni nani humu jukwaani?
Misuli pia kwa wale wazee wa......... Swadaktaaa. Vipi we kiumbe upo mekumicwasisahau kutengeneza na maDIRA ya JF nataka ni mnunulie my wife wangu.
Mimi niliziona kadhaa mahakamani pale Arusha.