fulana za JF zimeishia wapi?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,875
2,739
kulikuwa na vuguvugu kubwa kuhusuana na hizi fulana. sasa sijasikia tena hili suala. wala sijaona mdau yoyote popote kavaa nembo ya JF ilhali kuna jeshi kubwa na wana jf humu uraiani. niwaulize wadau wakuu; Melo et al, ziko wapi hizi gear?
 
Hata mimi mkuu nashangaa. Huu mradi uliishia wapi? Nilikuwa nahitaji hii kitu. I am proud to be JF member. Kama Mr Mello hawezi may be hana muda amezongwa na kazi, atupe hiyo tenda basi.
 
sio nyie tu hata mi mh! Sijazipata cjui zinatolewa kwa mustakabali gani?
 
Me four! Memba ambae 2takutana barabarani lazima 2kae pembeni kwanza 2pate moja moto!
 
4 sure we hav 2 get them,...i feel proud dat im among da few o levelz hu are in jf n few sharobaroz!lol...
 
According to wadau, zilishaisha nasikia zilitoka chache sana. Ni wakati wa kumwambia Max tunazihitaji hata kama ni kwa Pesa ingawa kwa Premium Members zilikuwa zinatolewa bure
 
wahusika waje kutupa maelezo basi maana hayo mavazi yanahitajika. au kitengo cha uenezi ndani ya jf hakipo?
 
naomba niwajibu wote mliochangia hapo juu.......hizi t-shirt zilitoka kama majaribio.......na imeridhisha kuwa members wengi walizipenda na uhitaji wa t-shirt hizi ni mkubwa kwa sasa,zile zilizotoka wakati ule zimekwisha,juhudi za kutengeneza nyingine zinaendelea....hivyo basi......bwana Globu....unakaribishwa sana, na idea yako ni nzuri......unaweza kuniPM kama utahitaji maelezo zaidi
 
Baby Prety mbona unapenda rushwa,we all want em,you got any info spill it out here!xoxo
 
Baby Prety mbona unapenda rushwa,we all want em,you got any info spill it out here!xoxo

hi hi.....hata wewe Good Guy kama utaweza kuzitengeneza ila ziwe zenye quality (nadhani utakuwa uliziona zile za mwanzo) sio ziwe zinavutika kama tambara la deki....unakaribishwa.....wasiliana na support@jamiiforums kwa maelekezo zaidi.....:busu
 
Back
Top Bottom