Tetesi: Fukuto ndani ya CCM Dodoma linatisha, hali si hali

Tetesi: Fukuto ndani ya CCM Dodoma linatisha, hali si hali

Za ndani kabisaa na uhakika

Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.

Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
hali nishwari kabisaa na sasa hivi wajumbe washapewa urojo na ubuyu wa babu issa toka zenji mioyo yao kwatuuu na leo mama abdul yupo kizmkaz akipewa zooote za kitanganyika na anaowablend yaani leo mpaka mikono itaota sugu kwa furaha aliyonayo.
 
CCM ikiona hivi yenyewe inacheeeka!! Kwa sababu inaona namna gani Ina wajinga wengi ya kuwaongoza.

Imagine mtu anafurahia Nchimbi kujizulu wakati huo mfumo baado uko pale-pale, hamna kilicho badirika. Haya tuseme Leo wamemchukua wamemweka Ridhiwani mtafanyaje?

Si bora hata Nchimbi, huenda hata Sir God angeamua yake somehow tungepata mtu mwenye akili pale Ikulu, saivi anaenda kuwekwa Ridhiwani, vipi yakitokea ya Mwendazake? Tatzo litakua limeisha?

Kama Taifa still have long journey to go, kama tunaweza kushangilia aina hii ya ujinga wa CCM basi Safari ya ukombozi baado sana
 
Za ndani kabisaa na uhakika

Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.

Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
Tangu lini ccm wakafukutana kwa ajili ya maslahi ya nchi. CCM huwa wanaangalia vyeo tu, fukuto hilo ni la kumezea mate vyeo wala sio la kugombea haki.
 
Za ndani kabisaa na uhakika

Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.

Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
Moto na uwake wakuliponya taifa kwani hata nyasi zikichomwa zinaibuka mpya zenye afya Bora na nguvu zaidi🔥🔥🔥
 
Za ndani kabisaa na uhakika

Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.

Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
Dogo tunakujua vizuri we ni mzushi tu, hapo umekaa unakunywa nyagi ukifikiri wanzania ni wa hivyo!
Eti za ndani! Ndani we ulikuwepo? Acha umbea mtu mwenye mapumbu
 
Mitandao ni sehemu ya kipuuzi sana..mpuuzi analeta upuuzi na wapuuzi wanachangia kwa hamasa..😀 Hakuna chanzo wala msemaji mtu ameshalewa anaandika tu
 
Za ndani kabisaa na uhakika

Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.

Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
Hamna kitu hapo labda ccm ya New Zealand lakini sio hii ya wachumia tumbo.

For this ccm nothing strange will ever happen, it will be the business as usual I tell you. None is in that party in the interest of this country but they're there to safeguard their personal selfish interests.
 
Mitandao ni sehemu ya kipuuzi sana..mpuuzi analeta upuuzi na wapuuzi wanachangia kwa hamasa..😀 Hakuna chanzo wala msemaji mtu ameshalewa anaandika tu
Tukuweke wapi kati ya Wapuuzi wenzetu au Mpuuzi wa pili anayetoa anagalizo ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom