Tetesi: Fukuto ndani ya CCM Dodoma linatisha, hali si hali

Tetesi: Fukuto ndani ya CCM Dodoma linatisha, hali si hali

CCM na haki toka lini?

Kama Makamu tuu kastafu Siasa, sembuse hao vidagaa waliobaki.

Hao viongozi wa chama ni waoga hata kuliko wananchi wa kawaida.
Sababu wana vingi vya kupoteza.

Kumbuka kuna waliofadhiri matukio ya october bado wanatafutwa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom