Fuel consumption toyota Rav 4 VX 1999

Jaman msaada gari yngu toyota rav 4 vx old model 1999 naona haipo sawa kwenye ulaji mafuta

Nikashauriwa niendeshe izime then niweke mafuta kidogo kwa ajili ya testing
Nikaweka mafuta ya 10,000 ambayo ni kama 4.4 litres hivi distance covered 13kilometers

Lilipozima nilirudia tena kuweka petrol ya 10,000 distance covered ikawa around 14 kilometers licha ya

1.Kubadili fuel filter

2.Kuweka sparking plugs mpya zote nzima

3.Nyaya za plugs mpya zote nzima

4.Fuel system throttle body ( regulate the amount of air that flows into the

Engine more details on - what is a fuel system 'throttle body'?)
Icho kifaa kilikua checked pia kiko freshi

Gari imetembea kilometers kama laki na arobaini tu [140,000]

Nimeuliza maana naambiwa atleast itembee 10 upto 14 kilometers per litre kwa hii gari

Wataalamu naombeni ushauri shida inaweza kuwa nini
Mkuu pole. Kama unaendesha kwenye foleni za dar hayo mafuta yanatakiwa yaende angalau km20. Endelea kucheck na mafundi. Ama jaribu kuendesha usiku wakati hakuna foleni uone matokeo pia.
 
Mkuu pole. Kama unaendesha kwenye foleni za dar hayo mafuta yanatakiwa yaende angalau km20. Endelea kucheck na mafundi. Ama jaribu kuendesha usiku wakati hakuna foleni uone matokeo pia.
nili Overhaul tatizo limeisha kabisa saivi imerudi kawaida..........
Good performance & Good Consumption.
 
Shukrani kwa mrejesho maana kwa jinsi ulivyoshuhudia jinsi gari ilivyokusumbua ingefanya hata sisi wageni tunaotaka kuchukua hii gari mikononi mwa watu tuogope, nilioenda kukuuliza hiyo gari ni ya AWD, 2WD au 4WD?
nili Overhaul tatizo limeisha kabisa saivi imerudi kawaida..........
Good performance & Good Consumption.
 
Back
Top Bottom