Fuel consumption toyota Rav 4 VX 1999

jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined
Apr 10, 2014
Messages
132
Points
225
jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined Apr 10, 2014
132 225
Jaman msaada gari yngu toyota rav 4 vx old model 1999 naona haipo sawa kwenye ulaji mafuta

Nikashauriwa niendeshe izime then niweke mafuta kidogo kwa ajili ya testing
Nikaweka mafuta ya 10,000 ambayo ni kama 4.4 litres hivi distance covered 13kilometers

Lilipozima nilirudia tena kuweka petrol ya 10,000 distance covered ikawa around 14 kilometers licha ya

1.Kubadili fuel filter

2.Kuweka sparking plugs mpya zote nzima

3.Nyaya za plugs mpya zote nzima

4.Fuel system throttle body ( regulate the amount of air that flows into the

Engine more details on - what is a fuel system 'throttle body'?)
Icho kifaa kilikua checked pia kiko freshi

Gari imetembea kilometers kama laki na arobaini tu [140,000]

Nimeuliza maana naambiwa atleast itembee 10 upto 14 kilometers per litre kwa hii gari

Wataalamu naombeni ushauri shida inaweza kuwa nini
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,855
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,855 2,000
Inapaswa kutembea km14 (1 L kwa km 3+ hv) na ndo ulizo tembea ..unataka nn cha ziada..hyo gari ina CC ngap?
 
jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined
Apr 10, 2014
Messages
132
Points
225
jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined Apr 10, 2014
132 225
Inapaswa kutembea km14 (1 L kwa km 3+ hv) na ndo ulizo tembea ..unataka nn cha ziada..hyo gari ina CC ngap?
2000cc
kwa hiyo 1 litre km 3 plus na siyo 1 litre km 8 plus kwa hiii gari
izo km 14 inatembea hadi kuzima mafuta nloweka niya elfu 10 ambayo n kama 4.4 litres
kwa iyo 4.4 kwa 14 km ni sawa?
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,855
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,855 2,000
Hi

Hyo km 14 ni high way au humu kwenye foleni zetu? Ili uzipate hzo unapata iwapo mayb utatembea kwa speed ya km sichini ya 60 per hr..Coz kwa hzo km 14 kwenye foleni utazipata kwenye vits na spacio na raum..kwa hzo cc sidhani.
 
jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined
Apr 10, 2014
Messages
132
Points
225
jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined Apr 10, 2014
132 225
Hi

Hyo km 14 ni high way au humu kwenye foleni zetu? Ili uzipate hzo unapata iwapo mayb utatembea kwa speed ya km sichini ya 60 per hr..Coz kwa hzo km 14 kwenye foleni utazipata kwenye vits na spacio na raum..kwa hzo cc sidhani.
sio high way kaka mizunguko tuuuu ya mtaa kwa mtaa huku kwetu hamna foleniiiiii.............
 
jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined
Apr 10, 2014
Messages
132
Points
225
jacobcm8

jacobcm8

Senior Member
Joined Apr 10, 2014
132 225
in
Hi

Hyo km 14 ni high way au humu kwenye foleni zetu? Ili uzipate hzo unapata iwapo mayb utatembea kwa speed ya km sichini ya 60 per hr..Coz kwa hzo km 14 kwenye foleni utazipata kwenye vits na spacio na raum..kwa hzo cc sidhani.
ingeongeza ongeza basi 1litre km 3 ingesogea hata 1 litre km 8 basi
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,855
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,855 2,000
in

ingeongeza ongeza basi 1litre km 3 ingesogea hata 1 litre km 8 basi
kama hakuna foleni hilo ni tatizo...nilidhani kwenye foleni zetu..na kingine uangalie uendeshaji wako wa gari..breki breki zisiwe nyingi.
 
M

Mtambwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Messages
453
Points
1,000
M

Mtambwe

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2014
453 1,000
Hi

Hyo km 14 ni high way au humu kwenye foleni zetu? Ili uzipate hzo unapata iwapo mayb utatembea kwa speed ya km sichini ya 60 per hr..Coz kwa hzo km 14 kwenye foleni utazipata kwenye vits na spacio na raum..kwa hzo cc sidhani.
Tanzania kuna Highway?
Kama ni Highway gari inakula mafuta kidogo unapotembea chini ya 120 km/hr unapozidisha inakula mafuta zaidi kulikoni kwenye barabara za ndani
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,855
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,855 2,000
Tanzania kuna Highway?
Kama ni Highway gari inakula mafuta kidogo unapotembea chini ya 120 km/hr unapozidisha inakula mafuta zaidi kulikoni kwenye barabara za ndani
Zipo kwa kiwango chetu.as kwa sisi high way ninzile zinwzoenda nje ya mji
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,312
Points
2,000
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,312 2,000
Kwanza iyo gari ni CC ngapi kama ni cc 2000, je umefungua engine pale unapoweka oil na kukaza zile... ndefu hapo ndani,
JAMAN MSAADA GARI YNGU TOYOTA RAV 4 VX OLD MODEL 1999 NAONA HAIPO SAWA KWENYE ULAJI MAFUTA
NIKASHAURIWA NIENDESHE IZIME THEN NIWEKE MAFUTA KIDOGO KWA AJILI YA TESTING
NIKAWEKA MAFUTA YA 10,000 AMBAYO NI KAMA 4.4 LITRES HIVI DISTANCE COVERED 13KILOMETERS
LILIPOZIMA NILIRUDIA TENA KUWEKA PETROL YA 10,000 DISTANCE COVERED IKAWA AROUND 14 KILOMETERS LICHA YA
1.KUBADILI FUEL FILTER
2.KUWEKA SPARKING PLUGS MPYA ZOTE NZIMA
3.NYAYA ZA PLUGS MPYA ZOTE NZIMA
4.FUEL SYSTEM THROTTLE BODY ( regulate the amount of air that flows into the
engine more details on - What is a Fuel System 'Throttle Body'?)
ICHO KIFAA KILIKUA CHECKED PIA KIKO FRESHI
GARI IMETEMBEA KILOMETERS KAMA LAKI NA AROBAINI TU [140,000]

NIMEULIZA MAANA NAAMBIWA ATLEAST ITEMBEE 10 UPTO 14 KILOMETERS PER LITRE KWA HII GARI

WATAALAMU NAOMBENI USHAURI SHIDA INAWEZA KUWA NINI
 
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
2,871
Points
2,000
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
2,871 2,000

Nunu engine ya passo mkuu vinginevyo haiwezekani kwenda 1 Lt kwa km 14 gari kama RAV4
 
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
2,871
Points
2,000
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
2,871 2,000
2000cc
kwa hiyo 1 litre km 3 plus na siyo 1 litre km 8 plus kwa hiii gari
izo km 14 inatembea hadi kuzima mafuta nloweka niya elfu 10 ambayo n kama 4.4 litres
kwa iyo 4.4 kwa 14 km ni sawa?
Uliendeshea highway au kwenye mafoleni?
 
Y

yonga

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
1,416
Points
2,000
Y

yonga

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
1,416 2,000
JAMAN MSAADA GARI YNGU TOYOTA RAV 4 VX OLD MODEL 1999 NAONA HAIPO SAWA KWENYE ULAJI MAFUTA
NIKASHAURIWA NIENDESHE IZIME THEN NIWEKE MAFUTA KIDOGO KWA AJILI YA TESTING
NIKAWEKA MAFUTA YA 10,000 AMBAYO NI KAMA 4.4 LITRES HIVI DISTANCE COVERED 13KILOMETERS
LILIPOZIMA NILIRUDIA TENA KUWEKA PETROL YA 10,000 DISTANCE COVERED IKAWA AROUND 14 KILOMETERS LICHA YA
1.KUBADILI FUEL FILTER
2.KUWEKA SPARKING PLUGS MPYA ZOTE NZIMA
3.NYAYA ZA PLUGS MPYA ZOTE NZIMA
4.FUEL SYSTEM THROTTLE BODY ( regulate the amount of air that flows into the
engine more details on - What is a Fuel System 'Throttle Body'?)
ICHO KIFAA KILIKUA CHECKED PIA KIKO FRESHI
GARI IMETEMBEA KILOMETERS KAMA LAKI NA AROBAINI TU [140,000]

NIMEULIZA MAANA NAAMBIWA ATLEAST ITEMBEE 10 UPTO 14 KILOMETERS PER LITRE KWA HII GARI

WATAALAMU NAOMBENI USHAURI SHIDA INAWEZA KUWA NINI
badilisha pia na oxygen sensor,ikiwezekana hata air cleaner

ukikanyaga sana accerelator inatoa moshi wa rangi gani?
 
chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
2,430
Points
2,000
chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
2,430 2,000
Hi

Hyo km 14 ni high way au humu kwenye foleni zetu? Ili uzipate hzo unapata iwapo mayb utatembea kwa speed ya km sichini ya 60 per hr..Coz kwa hzo km 14 kwenye foleni utazipata kwenye vits na spacio na raum..kwa hzo cc sidhani.
Acha kumpa moyo hiyo Gari itakuwa na shida. Haiwezikani ikanywa mafuta hivyo
 
Forum statistics

Threads 1,303,744
Members 501,127
Posts 31,490,940
Top