fuata utaratibu huu mwepesi kurudisha vocha uliokwangua vibaya

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,361
IMG_20170511_102345.JPG
 
Hivi kwani kutengeneza vocha yenye material ya voda, halotel nk inawagharimu nini, vocha laini umenunua buku mbili uko porini au vijijini maduka ya TIGO unayakuta wapi, huu ni upigaji
 
sasa huo ndo utaratibu rahisi!!!! sasa kama mimi niko maeneo ya mbali na hayo maduka???

Huu ni usengerama au nini? Vocha ya 500tsh/= nianze kujaza fomu!!!!
 
Back
Top Bottom