fta ku band msaada!!!!

fta ku band msaada!!!!

emike

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
345
Reaction score
109
wana jf heshima zenu!!!mimi niko mikoani kuna mtu kanitonya kwamba kuna kampuni fulani wanauza kingamuzi na dish dogo la ku band na ukishalipia unapata tv zote za tz, na nyingine za nje kama cnn etc na hakuna malipo ya mwezi, kama kuna wajuzi tafadhali naomba mnijuze bei ya hiyo set nzima yaani dish na receiver,na ni channels gani za tv zinapatikana!!! Natanguliza shukrani
 
ninachofahamu mimi ni kwamba,hiyo ni package ya ting na unaweza ipata bureeee ukiwa na receiver ya mpeg4 na dish ya ku na unaifunga katika angle ya dstv yaani 36'E,hapo utapata itv,eatv,capital,ch 10,tbc,sta tv,clouds tv,mbc,setanta na nyinginezo kaka,nadhani hapo nitakuwa nimekusaidia
 
Majibu sahihi kabisa,na itapendeza kama utapata receiver ya mpeg4 hd
 
ninachofahamu mimi ni kwamba,hiyo ni package ya ting na unaweza ipata bureeee ukiwa na receiver ya mpeg4 na dish ya ku na unaifunga katika angle ya dstv yaani 36'E,hapo utapata itv,eatv,capital,ch 10,tbc,sta tv,clouds tv,mbc,setanta na nyinginezo kaka,nadhani hapo nitakuwa nimekusaidia

ahsante sana kwa jibu lako umenielewesha vizuri.
 
Back
Top Bottom