SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,487
- 23,882
Utaumia sana. Na kaseja pia wa yanga kaachiaKessy Utopolo anaachia
Utaumia sana. Na kaseja pia wa yanga kaachiaKessy Utopolo anaachia
Hahahaa yani goli lifungwe na mwingine afu kongole iende kwa mayele is that fair?Uharaka Na Ustadi Mkubwa Wa Kumalizia Nafasi Za Kuweka Mpira Kambani Na Ng'ombe Watawapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu zote phillips
Asngefanya alichofanya kulikuwa na kujifunga? Au dante angeupigia shuti golini kwake mwenyewe?Hahahaa yani goli lifungwe na mwingine afu kongole iende kwa mayele is that fair?
Uharaka Wa Mayele Na Ustadi Mkubwa Wa Mayele Ndio Umeleta Lile GoalHahahaa yani goli lifungwe na mwingine afu kongole iende kwa mayele is that fair?
Tumeshafunga hesabu 3 points mfukoni,kesho asec mimosas anaenda kufanya mauji ya kimbali
Wacha wee, ngapi huko?Linarudi
Hadi kwako bahasha itataembea.Bahasha zinafanya kaz hapa daaah!! kazi kweli kweli kwa soka la bongo
Haiko hivyo, ni heri mumpe hecko kwa assist hapo tutawaelewaAsngefanya alichofanya kulikuwa na kujifunga? Au dante angeupigia shuti golini kwake mwenyewe?
Hahahahaha pole sana, mkuu. Mayele anakuumiza sana.Haiko hivyo, ni heri mumpe hecko kwa assist hapo tutawaelewa
Sema yanarudi sio linarudi tena.Linarudi
Kumbe kuna wengine wako kwenye kampeni. Hii tabia ya kuleta siasa kwenye michezo inafaa ikomeshwe kabisa, inakuwa kama watu hawajiamini hali inayopelekea kuhujumu uchaguzi mara kwa mara.
Kama ilivyo kolo ni kolo tu.Uto ni uto Tu