FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Sio kwamba sitaki ateteme

Ishu ni sababu gani ya msingi ya yeye kutetema?

Kama fact ni kuwa anashangilia goli la vicent ni sahihi kwa hilo
Hahahaha mkuu, ukirudi nyumbani utamwona mwanao akitetema ndo ujue ni style ya taifa
 
Nikupe pole ww na wana uto wote kwa mazingaombwe mnayo fanyiwa na GSM
Mtajua hamjui ikifika wakati wa kimataifa
Pole, Kolo. Ulipanga Yanga ateseke mzunguko wa pili, kila unachokiona unadhani mazingaombwe. Ulidhani utashinda wewe kila siku?

Hahaa na tutakutana na wewe na huambui kitu vilevile.
 
Back
Top Bottom